Kata ya Tungi Morogoro tutapiga kura za hasira

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
3,188
8,215
Hivi Rais, Mbunge na Baraza la Madiwani mnataka mtuambie katika kura zenu za ushindi hamkupata kura toka kata ya Tungi? Mateso haya mnayotupa kisa tu Diwani wa huku ni wa CHADEMA tutayalipa.

Kwanza mlitudhulumu barabara ya lami mkaipeleka KOLA MAKABURINI; yaani mliona wafu wana thamani zaidi kuliko sisi. Wakati huu mmechonga barabara kata zote kasoro Tungi pekee

NAWAAMBIA TUTALIPA
 
Tungi c mmepelekewa ofisi za NiDa! Tumieni fursa maana wana Morogoro wote humiminika Tungi kufuatilia vitambulisho.
 
Ukikataa kupanda basi la kuwahi kwa jeuri yako ukapanda lile bovu hapo hujamkomoa mwenye basi la halaka,
Watakaopanda la halaka watafika na kurudi wewe bado upo njianai unaloa vumbi na grease .
Dunia hairudi nyuma.
 
Ukikataa kupanda basi la kuwahi kwa jeuri yako ukapanda lile bovu hapo hujamkomoa mwenye basi la halaka,
Watakaopanda la halaka watafika na kurudi wewe bado upo njianai unaloa vumbi na grease .
Dunia hairudi nyuma.
MWENDA POLE HAJIKWAI, BASI LA HARAKA, NAULI SHINGAAH..? NA UNAPITA NJIA GANI,,?, LA HARAKA UKIFIKA UNAKOENDA MFUKONI HUNA KITU....BASI LA KIJANI LIMETUFIKISHA HAPA...HEBU TUJIKAGUE TUNA NINI MFUKONI...?
 
yani hapa morogoro mjini hasa huku Kihonda na Mkundi tunashida ya maji huu mwaka wa7 na viongozi wote ni ccm,alafu mtu anakuambia waliochagua(Majuto) upinzani ndo wanapaswa kukosa huduma hizi za msingi za kijamii,
 
Back
Top Bottom