end justify means
Senior Member
- Jan 16, 2014
- 129
- 26
moja kati ya kata ambazo CCM wana uhakika asilimia 80 kupoteza morogoro mjin ni kata ya mazimbu hivyo wanao huakika ndani ya 18 kama wacheza mpira wa miguu wanavyosema hawataweza funga goli hivyo basi sasa hivi wameanza kujaribu kutafuta ushindi au goli nje ya 18 ila mbinu za kufanga nje ya 18 kwanza wamepanga wahakikishe wanapasua chama ndani ya kata na njia watakayo fanya ya kwanza ni kupandikiza viongozi wa matawi na nyanja zingine ambazo watagawa chama na kuonyesha kuto kuwa na iman na uongoz kata.
Pili watajarib chomeka watu wanao onekana na uwezo kidogo wa pesa na kutia nia udiwan hapa mnategwa kwa pesa mkiamua abudu pesa basi pia huo ni mtego wenu huyu mtu akipita atakuwa tayari kupokea matokeo ya kushindwa au atajitoa wakati hamna namna ya kurudi nyuma mgombea CCM atapita bila kupingwa.
Tayari mamluki wako ndani mwenu, wengi hamwezi hata wazania hivyo kuweni makini sana kata Mazimbu ni tunda lililo tayari kuliwa na CHADEMA saa na muda ukifika hivyo kuweni maki kwa sababu sio habari nzuri kwa CCM.
Naomba kuwasilisha.