funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,401
- 31,909
Katika duru za kisiasa mkoani Arusha nawaletea yasiyosemwa na viongozi wa UKAWA ambao kwa bahati mbaya haupo tena kwa asilimia 90%.
Mgombea udiwani wa kata ya elerai mjini Arusha kupitia CUF amewataka wananchi kukataa hadaa za mabadiliko feki ya UKAWA na amesimama imara kugombea kata hiyo kwa kuwaasa wananchi wamkatae mgombea wa Chadema kwani ameshindwa kuwaletea maendeleo.
Mgombea huyu kuputia CUF ameamua kuwa ngangari na kukataa kumuachia mgombea wa Chadema kusimama kama mgombea wa Ukawa.
Niliwahi kusema humu gia za angani haziwezi kubadili gia nyeti za kule 'site' na leo siku tisa kabla tunajionea mfano muhimu wa mvurugano wa Ukawa majimboni.
Chanzo: Radio moja jijini Arusha