Umesimamisha wafanyakazi wa hazina kwa kujilipa mafao ambayo hayana maelezo.
Kwa mamalaka uliyo nayo naamini ulikuwa na fursa ya kuchunguza kabla ya kuwaita waandishi wa habari.Binafsi naamini maelezo hayawezi kukosekana ila hili suala limechukuliwa katika kutafuta political mileage!
Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa sserikali alitaja mabilioni ambayo hayakuwa na maelezo na mengine yakiwataja wahusika bila kuficha kitu.
Ni hatua gani ulichukua!!!