Walifanyaje hao Avira na Avast mkuu?Naona Somo la Avira na Avast limewaingia vyema.
Enzi za trial zimeshakwisha.
Wana Free Limited versions. So unaweza ukatumia bure bila kununua. Hazina filimbi na kengele ila zinatosha kwa ulinzi wa kawaida. Sasa jamaa ilikuwa unashusha trial baada ya hapo inabidi ununue. Somo limemkaa vizuri bwana Eugene!Walifanyaje hao Avira na Avast mkuu?
Hili la trial ya Kaspersky nimekutana nalo sana. Ilibidi niwe nanunua African version license, ambayo nalipia elfu 30 kwa mwaka la lazima iww activated Africa. Asante kwa taarifa nzuri za AviraWana Free Limited versions. So unaweza ukatumia bure bila kununua. Hazina filimbi na kengele ila zinatosha kwa ulinzi wa kawaida. Sasa jamaa ilikuwa unashusha trial baada ya hapo inabidi ununue. Somo limemkaa vizuri bwana Eugene!
Nimetumia Avira na Avast tangu yakiwa makampuni machanga, na yalikuwa yako vizuri. Ila miaka ya karibuni Windows naitumia kwa ku bip sana!Hili la trial ya Kaspersky nimekutana nalo sana. Ilibidi niwe nanunua African version license, ambayo nalipia elfu 30 kwa mwaka la lazima iww activated Africa. Asante kwa taarifa nzuri za Avira
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesomeka bro. Nimetumia sana avira pia, 2008-2010.Nimetumia Avira na Avast tangu yakiwa makampuni machanga, na yalikuwa yako vizuri. Ila miaka ya karibuni Windows naitumia kwa ku bip sana!
Asante kwa ushuhudaMie nna mwaka wa 8 sasa natumia Microsoft Security Essentials na haijawahi kuniangusha.
Window D ishawahi kuniangusha na kunitia hasara kubwa ambayo ctakuja isahau,Avg free,naiamn kinoma,haijawahi kuniangusha toka nianze kuitumia.Je windows defender ina nguvu ya kulinda dhidi ya virusi vikali?Ni ya kuaminika?
Kati ya Windows Defender and AVG free anivirus ipi ina nguvu zaidi?
Africa mpaka October na NovemberNITAIFANYIA MAJARIBIO HII
Inasemekana ni nzito! Inapunguza kasi ya computerMe natumia 360 security mwaka wa 3 huu haijaniangusha.... Kizur zaid ni buree
Labda kwa wanaotumia low end pcInasemekana ni nzito! Inapunguza kasi ya computer
Internet Security ni Combo ya Antivirus na vitu vingine. Ni kama kuuliza kati ya Nyuki na wadudu yupi mzuri. So Avast wana Antivirus na Avast Internet Security vivyo hivyo kwa Avira, Symantec, et al!Antivirus na Internet Security ipi nzuri?