mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,051
- 3,255
Serious mtu umekaa kwnye Game miaka zaidi ya mitano , leo unakuja kututolea Video umevaa feki T-shirt GUCCI ya K/koo .. inayouzwa 7500/=.
Unavaa Jampa Suti ...sijui zinaitwa hivyo ..zile za kulalia,na english Gold juu.
Halafu unatuambia "Bongo bahati mbaya " wakati ww mwnyewe Bahati mbaya.
Atakayenimbia nizinpende Video za nyumbani either Music Video au Bongo Movie ajiandae kwa matusi.