Hivi Katesh anakotoka Sumaye ni kaskazini mwa Tanzania? Huwa nasikia kuna upungufu wa waalimu wa hisabati, kemia, fizikia na biologia. Sikujua kuwa kuna upungufu mkubwa wa waalimu jiografia pia.
Siasa za ukanda na ukabila ni mbaya sana mleta hii kitu iwe ni kwa akili zako au za kushikiwa bado hujajua tuu madhara ya siasa hizi . kuwa mzalendo weka hoja zako acha kutugawa kwa ukanda hii ni hatari sana

Hao magamba wameshikwa pabaya, sasa wanajaribu kuja na siasa za ovyo kabisa, lakini sio ngeni kwani kila wanalojaribu linadunda tu, na hata hili litashindwa tu.