kasinde is in a crash with...!

exactly..! sasa cha kufanya, fasta fasta ni-pm nim-pm aku-pm namba yako na namba yake!

sawa?

Yaani kila niki pm naambiwa am not allowed to pm excel mmmhh basi nimechemsha kadhalika na nikijaribu ku m pm Kaizer au macho ya watu ndo yanazuia pm igome??
 
Last edited by a moderator:
Kasindeeeeee!!! happy mamaz day!! Kaizer also wished you that!!

he is sick now because of missing someone..!!

Thank you for wishing me the day, am happy yaani nilijuwa uwanjani pale mwemve yanga, nimechezaje tarumbeta??
Hapa nahemea juu juu kwa nyama choma za hapo viwanja vya ustawi wa jamii
 
Last edited by a moderator:
Nipo hapa getini kwenye hizi bendera za coca...upo wapi wewe?

Heheheheee best mungu wangu looh!! Niko ndani huku nshashiba nyama naskia usingizi naenda kwenye fukwe sasa nikapunge upepo niogelee kidogo chakula kikae sawa.
Karibu napita hapo na bajaji natoka kama vp karibu tuelekwe ufukweni au wewe ndo unaingia?
 
Karibu napita hapo na bajaji natoka kama vp karibu tuelekwe ufukweni au wewe ndo unaingia?

Ndio kwanza nimekuja kuangaza macho na kuona nini chaendelea...

Ufukweni nenda mwenyewe siye wengine twatoka bara bahari twaiogopa kama nini...
 
Wewe Ni Muongo!
 
Thank you for wishing me the day, am happy yaani nilijuwa uwanjani pale mwemve yanga, nimechezaje tarumbeta??
Hapa nahemea juu juu kwa nyama choma za hapo viwanja vya ustawi wa jamii

whaaaaat?? kumbe mwembe yanga hapo tuuu magomeni ndo mitaa yako eenh? qudadeki!

sasa ngoja nimwandae Kaizer...! tutazila sana hizo nyama!! wanawake hoyeee!!
Kasinde juu!! lol!

jiandae kwa ugeni mzito sana kasinde!! kaizer is coming with excellent
 
Last edited by a moderator:
Yaani kila niki pm naambiwa am not allowed to pm excel mmmhh basi nimechemsha kadhalika na nikijaribu ku m pm Kaizer au macho ya watu ndo yanazuia pm igome??

hivi kasinde huo uswahili utakufikisha wapi??

we ngoja sasa nijiwekee supa nanii nije!! hahaaa!!
 
aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„ nilikuwa sayari gani mie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…