Kasi ya ukuaji wa eneo la manzese Tiptop | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kasi ya ukuaji wa eneo la manzese Tiptop

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gaza, Oct 31, 2011.

 1. G

  Gaza Senior Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 103
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Manzese Tiptop nieneo katika jiji la dar es Salam linalo kua kwa kasi ya ajabu chaajabu hapa ni Serekali kutokuweka mipango madhubuti ya ukuaji wa hili eneo haswa katika eneo la miundo mbinu ya barabara za mitaa na mfumo wa maji ya mvua,
  Serekali inaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa idadi ya watu wanao enda maeneo ya kariakoo na posta ikiwa hili eneo lita wavutia wafanya biashara wata Jenga magodawn na maduka ,ofice na kadhalika mtu anae toka mkoani ataona kwanini niende kariakoo kununua nguo na mahitaji mengine atabaki eneo hili ukizingatia ni karibu na stendi kuu ya kwenda mikoani,

  Serekali iache mazoea ya kuacha mambo yaende yenyewe bila mikakati na mipango inayo lenga malengo fulani,
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Njooeni mikoani mtainjoy tu, huko manzese milundikano na minyukano daily
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  usijali, nyie jengeni mkimaliza ndo wataibuka
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Kwa taarifa yako bidhaa pale tiptop ni bei chee kuliko k.koo
   
Loading...