Kasi ya Internet MBPS Speed

Njiwa wangu

Senior Member
Dec 5, 2020
146
286
Habarini wakuu kuna wazo nilalo la kuanzisha kituo cha kuwa na wataalamu wa Tehama na kuweza kufanya project kadhaa ambazo tunaweza kubuni wenyewe za mda mrefu na mda mfupi.

Naombeni kupata ushauri nataka kuanza na watu wanne ambao naweza kuwahudumia vizuri, je! Enternet ya mbps 8 speed inaweza kutosha na je kama wewe upo hapa kama IT mwenye uzoefu mzuri unahisi ukiwepo kwenye eneo hili unaweza kuwa na mawazo gani hapa? Na je ni mtandao upi ambao unaweza kunipa huduma hii ya strong enternet nzuri bila kikomo?

Naomba nikukaribishe hata PM kama una jambo la kusema na kama unataka kuwa mshirika katika hili napo sawa ila uje na wazo kuntu.

Software engineering, Telecommunications engineering, computer science engineering, Networking engineering, Karibuni sana na hata ukiwa kwenye kada nyingine ila ina wazo mrua ambalo unaona linafaa kufanyia utafiti kwenye strong enternet karibu

WhatsApp no 062030712
 
Back
Top Bottom