Kashifa nzito jeshi la polisi

Ndio maana ndugu au mwanangu akichaguliwa police namshauri bora akawe machinga kariakoo
 

Nchi inapelekwapelekwa hovyo, haina tofauti na kama ile miaka ya 60 wakati mamafia walivyosumbua New York na kuua watu. Nchi imekuwa ya kimafia ukiwabishia au kuwakosoa basi unauwawa. Huu utawala wa kidikitekta wa Magufuli utaangamiza familia nyingi sana mpaka akimaliza muda wake. Kuna haja ya kubadili katiba ili pindi watakapomaliza muda wao tuwahukumu kwa matendo yao ya kipumbavu
 
polisisiemu
 
nani atabadili katiba nawakati chama kwanzaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…