Kashfa za Mkurugenzi Muhimbili

Mkuu, nadhani wakuu amkawewe na chakii wanamaanisha record ya kiutendaji hasa afya, pili NMB office ilikuwa katika compound ya chuo na si Hospitali.

Upo sawa mkuu, pembeni kwa stand ndogo daladala za Muhimbili zinapogeuzia.

Hili halihusiani na masuala ya Afya labda mambo binafsi ya Administration ambayo hayatuhusu.
 
Last edited by a moderator:
Hizi ni tuhuma nzito kwa sekta nyeti sana inayoshughulikia afya za watanzania,sasa kwasababu vielelezo vimeoneshwa,takukuru si waanze uchunguzi,au CAG!
 
Haya Jack baeur Huyu aliyeteuliwa na Rais kutokana na USHAURI Wa Mama Salma,Amemaliza MUDA WAKE.This is what she did !
 
Last edited by a moderator:
Acha majungu n mikingamo. Mna personal conflict . Nawe kasomee ukurugenzi. Kwani WaSwiss walilipwaje? You cant fight women in this way
 
Nao huo ni ufisadii, acheni visa wabongo
 

Mbona usoni anaonekana very innocent? Nilidhani ni wanaume tu mafisadi kumbe hata akina mama? Mmh! Kweli pesa ukiifanya pesa Mungu itakutia aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…