Kashfa ya Rada Mambo hadharani

Membe hawezi kuthubutu kuwataja, pamoja na kwamba UKWELI uko hadharani.

Mimi nashindwa kuwaelewa CCM? Sasa nimeamini sera ya CCM ni UFISADI na KULINDANA. Wanashindwaje kumkamata Chenge na kumfikisha mbele ya vyombo vya sheria?

Halafu tukiipenda CDM, CCM wananuna. LIWALO na LIWE ninaomba CDM 2015 wachukue nchi hii. Nimechoshwa na ufisadi wa CCM
 
Kwa wale mliomsikia Membe J3 ITV kwenye kile kipindi cha dakika 45 aliweka wazi kwamba kampuni ya BAE na mahakama walikubaliana kwamba watarudisha pesa Tanzania kwa sharti ya kuwa wale wote waliohusika watakuwa na kinga ya kutoshtakiwa sasa sijui Tanzania tunafuata hayo makubaliano yao huko uingereza au tutawachukulia hatua.
 
Umenitinesha na hili saga!! Duh, nchi yetu inaangamia kwa kukosa viongozi walio na vision nzuri na wenye kutake risk!!
 
Mwanzo wa kuchukua hatua ni kuwa na taarifa kama hizi,lakini Membe jana akiwa ITV alisema walikubaliana warudishiwe fedha ila waliohusika wasishitakiwe..sijui sheria za nchi gani hizi

Mungu wangu, is this true? Sasa kwa nini jela na mahabusu zetu zinajaa wakati kuna option ya kurudisha usishitakiwe?:spy:
 
Kwa wale mliomsikia Membe J3 ITV kwenye kile kipindi cha dakika 45 aliweka wazi kwamba kampuni ya BAE na mahakama walikubaliana kwamba watarudisha pesa Tanzania kwa sharti ya kuwa wale wote waliohusika watakuwa na kinga ya kutoshtakiwa sasa sijui Tanzania tunafuata hayo makubaliano yao huko uingereza au tutawachukulia hatua.
Changa la macho hilo, BAE iliamriwa na mahakama(?) ya Uingereza iirudishie Tz hela waliyokwapua, kama kulikuwa na makubaliano ya hivyo ni kati ya BAE na vyombo vyao vya kisheria (?) Inazuia vipi sheria yetu kuwawajibisha wezi wetu ambao ni raia wetu pia?! Anyway, mimi siyo mwanasheria. Lakini haiingii akilini mwizi aliyekuibia akurudishie mali yako kwa masharti anayokuwekea yeye! Ina maana ileile hela waliyotuibia imetumika kutuhonga ili tusiwashitaki vibaraka wao walio kati yetu!!
 
Enzi hizo manunuzi yanafanyika kwa dili tupu. Acha Magufuli alalamike tu, wametufikisha tulipo.
Analalamika nini sasa? Yeye atuambie 2.4 Trillion zimeenda wapi? Au tusubiri hadi atakapotoka madarakani ndio tuhoji?
Safari hii hakuna cha kinga wala protection, ni mwendo wa fanfan tuu.
 
Analalamika nini sasa? Yeye atuambie 2.4 Trillion zimeenda wapi? Au tusubiri hadi atakapotoka madarakani ndio tuhoji?
Safari hii hakuna cha kinga wala protection, ni mwendo wa fanfan tuu.
Huu mwendo wa fung fung bhana...
Umenikumbusha mbali sana
 
Hivi mzee wa vijicenti yupo wapi siku hizi? au anajipanga Urais 2025 you never know !!
 
Back
Top Bottom