Kasheshe za bunge

...wange mpangusa ngumi mzee wa kibandiko...
 
Mzee Kibandiko kachoka, anaweza kula ngumi moja akafa.
 
Mbona mrema anatoa tu macho?
 
Mrema kama haamini macho yake ila kama anataka asaidie upande wa chama tawala sema tu anamhofia Mbatia asije akapata cha kusema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…