Kasema anataka anipe

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
11,201
Reaction score
14,775
Wakuu ni kamanzi kangu ka mechi za kirafiki kwenye mahusiano huwa tuko open hatuna wivu,sasa toka nimtie mtaji wa kagrocery anasema atanipa bata kama zawadi .
Mbona natetemeka kwenda isijekuwa vya gomorah
 
Ndo shukrani yake kwako,kula tuuh matunda mema ya nchi ila siku ya hesabu usije sema ulirubuniwa.

Maana Adam naye aliambiwa hvyo hvyo kumbe nyoka alikuwa kampiga Bao mkewe kitambo.
hahaaa
 
mkuu wewe ulikuwa unatoa sadaka kwani?
 
Wakuu ni kamanzi kangu ka mechi za kirafiki kwenye mahusiano huwa tuko open hatuna wivu,sasa toka nimtie mtaji wa kagrocery anasema atanipa bata kama zawadi .
Mbona natetemeka kwenda isijekuwa vya gomorah
nmecheka sanaaa leo japo post ywa mwaka 2011
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…