subiri waje mkia aka Tahiti mwenzio mjibizane
subiri waje mkia aka Tahiti mwenzio mjibizane
Nimefurahishwa sana na kufarijika kupita maelezo kusikia kwamba uongozi wa Simba SC umeamua kuachana kabisa na mchezaji wao golikipa Juma Kaseja Juma.....na nimatumaini yangu kwamba uongozi utaendelea na msimamo huo bila kurudi nyuma... hali hii imetokana na Kaseja kuonyesha kucheza jinsi anavyotaka jinsi anavyoamua kulingana na mechi hadi mechi.... akiamua leo adake sana na hakuna goli litakaloingia inakuwa hivyo.... akiamua leo afungwe magoli ya kizembe anafanya hivyo... lakini yote kwa yote hakuna kitu kibaya kama ulivyotufungisha mechi ya mwisho na Yanga (wengi SSC wanaamini hivyo) ... iliniuma sana...najua unakana kwamba hukuhujumu lakini wana Simba wengi hatutaamini kamwe.... japo mambo kama haya yalishawahi kuwakuta magolikipa wenzako kama Nemes, Ivo Mapunda, Juma Pondamali, Peter Manyika, Idi Pazi, Issa Manofu, Chachala Muya, Mohamed Mwameja, Doyi Moke...na wengineo mimi natoa ushauri kwa wachezaji wengine....... bora kuwa mjanja kama umekula vya watu siku ya mechi jifanye mgonjwa kuliko kuliko kuwakosesha raha mamilioni ya wapenzi wanaokuamini.... binafsi nakutakia heri kwa kuwa riziki haipo kwenye mpira au simba tu unaweza kufanya biashara nyingine..
Hivi wewe bado unakariri ngojera za mwaka juzi? wenzio wanaongelea Confederation Cup inayoendelea sasa, Ligi kuu inayoanza soon, kombe la dunia Brazil mwakani. any way kwa kukusaidia tu, hebu angalia jezi za tahiti halafu linganisha na jezi za simba ukiona mfanano hapo ujue Simba =TahitiHivi kati ya Simba SC na Yanga ni nani anastahili kuitwa Tahiti? Kwa kichapo cha mwaka jana cha 5-0 kutoka kwa Wekundu wa Msimbazi kwa nini Yanga a.k.a. Yeboyebo isiitwe Tahiti?
Hivi wewe bado unakariri ngojera za mwaka juzi? wenzio wanaongelea Confederation Cup inayoendelea sasa, Ligi kuu inayoanza soon, kombe la dunia Brazil mwakani. any way kwa kukusaidia tu, hebu angalia jezi za tahiti halafu linganisha na jezi za simba ukiona mfanano hapo ujue Simba =Tahiti
Upumbaf...badala ya kukazia mawazo kwenye Confederation Cup bado unarudisha kwenye Simba = Tahiti...vipi wewe??
Simba lazima watajuta kumuacha Kaseja. Mechi 5 za awali ligi kuu zitatoa majibu. Kibadeni naye akifika mwisho wa msimu atakuwa mwenye bahati sana.
Sasa ulitaka simba =spain?
Wapenzi na viongozi wa Simba hamna shukrani, jinsi Kaseja alivyojitoa kwa timu yenu hamkupaswa kumuacha kwa lugha za maudhi hivyo ila sishangai sana kama mlishindwa kuonesha utu kwa marehemu (Mafisango) itakuwa kwa aliye hai? Tunawaombea kheri mumpate atakayewapa mchango kwa siku zake za mbele.
Simba lazima watajuta kumuacha Kaseja. Mechi 5 za awali ligi kuu zitatoa majibu. Kibadeni naye akifika mwisho wa msimu atakuwa mwenye bahati sana.