ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
Kwa hiyo kosa la Kaseja ni lipi? Kaseja hapangi timu, benchi la ufundi lipo, kuna kocha mkuu, kocha msaidizi, kocha wa makipa, kuna meneja wa timu hadi daktari yupo, kama daktari kathibitisha kwamba Kaseja yuko fiti na makocha nao wakampanga unataka akatae kukaa golini kisa amedaka muda mrefu au kwa sababu kuna wengine; yeye hajawahi kung'ang'ania golini. Siku makocha wakiacha kumpanga utaona wengine wanakaa golini wala usianze kumlaumu eti anaua viwango vya wengine, na kama kukaa kwake golini angekuwa anauwa viwango kweli kama unavyosema hicho kiwango cha Ally Mustafa cha kugombea namba na Berko asingekuwa nacho leo maana kakaa muda mrefu sana Simba hivyo kiwango kingekuwa kimekufa muda mrefu.habari, wana jf mm binafsi naamin kuwa j kaseja anaua viwango vya makipa wengine waliopo msimbazi,kwan haiwezekan kipa ambaye kila mechi iwe maandalizi ya msimu,ligi,bonanza,mazoezini anadaka yy tu,hta kma ndio bora klabuni au tz nzima kuna ulazima wa kuwajaribu na makipa wengine waliopo simba hta ktka zile mechi zinazoonekana ni za kawaida.
kucheza mechi zote kwa kaseja ndiko kuliko muondoa ally mustapha simba baada ya kuona kuja kucheza kwake mechi itakuwa ni ndoto,ss kma kila mechi ni kaseja tu? wale makipa wengine msimbazi wanafanya nn? au wapo kwa ajili ya mazoezi tu? huko ni kuua soka la bongo,bora bartez aliliona hlo mapema na akatimkia zake yanga ambako ss hv anacheza na kutishia namba ya yaw berko,kwa makipa wa simba kma kweli wanataka kucheza na wajulikane,ni bora wajumlishe akili za kuambiwa na zao...nawasilisha
habari, wana jf mm binafsi naamin kuwa j kaseja anaua viwango vya makipa wengine waliopo msimbazi,kwan haiwezekan kipa ambaye kila mechi iwe maandalizi ya msimu,ligi,bonanza,mazoezini anadaka yy tu,hta kma ndio bora klabuni au tz nzima kuna ulazima wa kuwajaribu na makipa wengine waliopo simba hta ktka zile mechi zinazoonekana ni za kawaida.

Kwa hiyo kosa la Kaseja ni lipi? Kaseja hapangi timu, benchi la ufundi lipo, kuna kocha mkuu, kocha msaidizi, kocha wa makipa, kuna meneja wa timu hadi daktari yupo, kama daktari kathibitisha kwamba Kaseja yuko fiti na makocha nao wakampanga unataka akatae kukaa golini kisa amedaka muda mrefu au kwa sababu kuna wengine; yeye hajawahi kung'ang'ania golini. Siku makocha wakiacha kumpanga utaona wengine wanakaa golini wala usianze kumlaumu eti anaua viwango vya wengine, na kama kukaa kwake golini angekuwa anauwa viwango kweli kama unavyosema hicho kiwango cha Ally Mustafa cha kugombea namba na Berko asingekuwa nacho leo maana kakaa muda mrefu sana Simba hivyo kiwango kingekuwa kimekufa muda mrefu.
bibie unauwakika na unacho kinena?*:becky:tatizo listi inapangwa na viongozi badala ya kocha
Mtoto mbaya sana huyo ni wa kumkalia mbali...hatari sana huyo kijana!pesa zake anamalizia huko sijui hata kama anafikiria hatma yake baada ya soka au ataishia kuolewa na mijimama...maana ndio zao hizo!wapenda mseseleko
habari, wana jf mm binafsi naamin kuwa j kaseja anaua viwango vya makipa wengine waliopo msimbazi,kwan haiwezekan kipa ambaye kila mechi iwe maandalizi ya msimu,ligi,bonanza,mazoezini anadaka yy tu,hta kma ndio bora klabuni au tz nzima kuna ulazima wa kuwajaribu na makipa wengine waliopo simba hta ktka zile mechi zinazoonekana ni za kawaida.
kucheza mechi zote kwa kaseja ndiko kuliko muondoa ally mustapha simba baada ya kuona kuja kucheza kwake mechi itakuwa ni ndoto,ss kma kila mechi ni kaseja tu? wale makipa wengine msimbazi wanafanya nn? au wapo kwa ajili ya mazoezi tu? huko ni kuua soka la bongo,bora bartez aliliona hlo mapema na akatimkia zake yanga ambako ss hv anacheza na kutishia namba ya yaw berko,kwa makipa wa simba kma kweli wanataka kucheza na wajulikane,ni bora wajumlishe akili za kuambiwa na zao...nawasilisha
warabu wa pemba wanatambuana kwa vilembakaseja ndumba sana