Kasababisha nitembee na rafiki yake

Kiukweli we jamaa n boya na unaelement za kivulana. Yan unatafta heshima mtaani kwa kugegeda wasichana tena marafiki wa demu wako. Hujielewi inaonekana bado unaishi kwenu au kwa dadaako means huna majukumu ya kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio dawa yao, sio mianaume mingine inatoa nyuzi za kulizwa tu humu.
Mm kuna kidemu nimekikanyaga sana ila mbele ya rafiki yake mmoja kinajifanya hakipend wala hatujawah ss tumepanga kesho nimle rafiki yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna alichokosea hapo zaidi ya kujijengea heshima iliyotukuka kitaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…