Kasababisha nitembee na rafiki yake

Aaaah! jamani mm natafuta wachimba visima huku pugu mpakani! kha!
 
Hivi bara bara gani Dar haina foleni sana?
Swali hili muulize kamanda Mpinga wa traffic makao makuu.
Mleta mada anauliza,
Nani alaumiwe baada ya yeye kumla shosti wa mpenzi wake?

-Over.
 
Swali hili muulize kamanda Mpinga wa traffic makao makuu.
Mleta mada anauliza,
Nani alaumiwe baada ya yeye kumla shosti wa mpenzi wake?

-Over.

Ni heri kujibu swali kuhusu njia isiyo na foleni kuliko kujibu swali la mtoa mada.
 

Haya bhana,wenzako hayo tunaona ni mambo ya aibu mila na desturi zetu hazitufunzi kujisifu kwa uzinzi,hiyo hubaki siri ya wawili,wewe unajisifu???!!!.
 
Kwa post za humu inaonesha wanaume wengi hawajitambui hivyo tunatakiwa kuwafunga kamba kama mbuzi ili kuepuka migogoro na jirani maana hawachelewi kufanya vituko.
 
Gegeda kwa uangalifu namaanisha condom.

HIV Imejaa kibao mtaani. Tuulize watu wa afya tukujuze!!.
 
sifa moja ya uchangudoa ni Ukimwi R.I.P MKUU
 
Swali hili muulize kamanda Mpinga wa traffic makao makuu.
Mleta mada anauliza,
Nani alaumiwe baada ya yeye kumla shosti wa mpenzi wake?

-Over.

Wenzio washanijibu wewe pita tu.
 
Hivi bara bara gani Dar haina foleni sana?

Inategemea unatoka wapi kuelekea wapi, mida ipi na 'sichuesheeni' ya hali ya hewa...halafu pia hata chombo cha usafiri unachotumia.
 
Ungemwuliza sababu ya yote hayo bila kumgegeda heshima yako ingeshuka? Baada ya hayo umejidhalilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…