Himidi ni jambazi polisi wachukue hatua za kisheria hakuna kumchekea tumechoka kufuga majambazi.
namshukuru mungu kwa kuniwezesha kuikataa kazi ya polisi .
Kwan nn mkuu?
Katika issue hii ni vema tukafahamishwa je alianza kumiliki lini silaha hizo ni tangu akiwa CCM au baada ya kufukuzwa CCM na kujiunga na CUF?, na kama alikuwa anamiliki tangu akiwa CCM ilikuwaje asikamatwe wakati huo hadi akamatwe kipindi hiki ambacho yupo nje ya CCM?.
Tujiulize Uamsho walipata wapi silaha?Sheria za znz huwezi kumiliki silaha kama ana kibali cha bongo basi ame vunja sheria ataenda jela,question katoa wapi znz hakuna sehemu wanauza hayo mavitu?Tano zimetumika ametumia wapi?Znz hakuna uhalifu napata wasi wasi atakuwa gaid
Hujitambui nyie ndiye mlikuwa mnapewa hizo silaha mnaenda kuuwa watu ngoja tuwanyoshe mpaka muache ugaidi wenu.
Sheria za znz huwezi kumiliki silaha kama ana kibali cha bongo basi ame vunja sheria ataenda jela,question katoa wapi znz hakuna sehemu wanauza hayo mavitu?Tano zimetumika ametumia wapi?Znz hakuna uhalifu napata wasi wasi atakuwa gaid
Himidi ni jambazi polisi wachukue hatua za kisheria hakuna kumchekea tumechoka kufuga majambazi.
Political prostitute,kajiuze Lumumba.Himidi ni jambazi polisi wachukue hatua za kisheria hakuna kumchekea tumechoka kufuga majambazi.
Kwa sababu ndani ya jeshi la polisi MWENYE AKILI NI YULE MWENYE CHEO hata kama ni darasa la saba
Na mapipa ya tindikali!Msangi ameruhusu majambia tu.
Watu wenye akili ndogo mnafikiri swala hapa ni silaha.Na malima ulimwita nani au unamwita jina gani hadi sasa pale alipobainika kuwa alikuwa na SMG na bastora pale Morogolo na kuibiwa vyote?
Mkuu kinyago kilichofunika uso wa Uamsho ndo kwanza kinaanza kung'olewa.Nashangaa watu wanaomtetea na kuingiza siasa.Padri kauwawa watu wametiwa ulemavu tukataka jeshi la polisi lifanye kazi yake.Kazi imefanyika watu wanatetea wahalifu
namshukuru mungu kwa kuniwezesha kuikataa kazi ya polisi .