GE2025 Karma is a bitch; Kilichomkuta Jerry Silaa jimbo la Ukonga ni ushahidi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Jane Msowoya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Posts
4,792
Reaction score
8,919
Ni msemo wa Kiingereza unaotumika kwa njia isiyo rasmi (slang).

Maana yake ni kwamba matendo mabaya ya mtu yatamrudia mwenyewe kwa namna mbaya yaani mtu akifanya ubaya kwa wengine, siku moja ataonja matokeo yake.

Msemo huu umefanya kazi nzuri sana kwa Jerry Silaa

Pamoja na kuiba kote kura Bado Wana Ukonga wakasema tunaenda na Shingo uliyemtesa kwa miaka mingi sana

Hatimae tarehe 30 Jerry akasweka ndani kwa kukutwa na kitita Cha pesa na kura feki alizozileta ziongezwe baada ya kuambiwa kura haijatosha na Wana Ukonga wakaamua kumpa kura za ndio Shingo Bakari

Screenshot_20251103-192230.png

Screenshot_20251103-192159.png
 
Ni msemo wa Kiingereza unaotumika kwa njia isiyo rasmi (slang).

Maana yake ni kwamba matendo mabaya ya mtu yatamrudia mwenyewe kwa namna mbaya yaani mtu akifanya ubaya kwa wengine, siku moja ataonja matokeo yake.

Msemo huu umefanya kazi nzuri sana kwa Jerry Silaa

Pamoja na kuiba kote kura Bado Wana Ukonga wakasema tunaenda na Shingo uliyemtesa kwa miaka mingi sana

Hatimae tarehe 30 Jerry akasweka ndani kwa kukutwa na kitita Cha pesa na kura feki alizozileta ziongezwe baada ya kuambiwa kura haijatosha na Wana Ukonga wakaamua kumpa kura za ndio Shingo Bakari

View attachment 3496755
View attachment 3496756
Okay
 
wamemtoa chambo, sio kila mtu ni mjinga...
 
Back
Top Bottom