Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 3,548
- 3,459
Nawasalimu kwa dhati wanajamii wenzangu.Mara zote nimekuwa nikijifunza kutoka kwa wanajamii wenzangu humu na hata juu ya hili ninaamini nitapata suluhisho lake humu .Nimekuwa mkimya kwa muda sasa kutokana na kupata sononeko kuu linalotokana na mashindano kati ya mwili na roho.
Ninaamini humu kuna wataalamu wa "karma"naombeni mnishauri nifanye nini maana ni kama nahisi kuna kitu nakosea na sijakifanya lakini bado kitu hicho ni muhimu nikifanye.
Natanguliza shukrani.
Mkuu nadhani unaelewa maana ya karma.Hebu sema kwanza ulifanya kitu gani ambacho unazan ndo kinakuandama au wewe ndo ulifyatua ile Risasi ikamuua mpendwa Akwilina
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nadhani unaelewa maana ya karma.
Kwani karma ni mpaka ufanye kitu kimoja ndiyo ikufuatilie?.
Sawa Mkuu ila itakuwa vizuri ukinishauri.
Utakuwa hujanielewa wewe.
Swali gumu kidogo hili.
Akija nina uhakika atanisaidia pia.Kwa uzi huu anaweza kuchangi Mshana Jr peke yake tena kwa msaada wa ramli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani Mkuu.Ulifanya nini , au ulipaswa kufanya nini unahisi hujafanya, kama ulifanya jambo baya tubu,kama ulidhurumu mali za watu warudishie kiroho safi, Karma is always good
Huyu hajui maana ya karma.
Weka wazi mabo usaidiwe naweza nikawa msaada kwako nina diploma in theologia .....najua kwa unayopitia na hali unayoisikia ya kupoa ki huduma weka wazi au nifate pm nikusaidieNawasalimu kwa dhati wanajamii wenzangu.Mara zote nimekuwa nikijifunza kutoka kwa wanajamii wenzangu humu na hata juu ya hili ninaamini nitapata suluhisho lake humu .Nimekuwa mkimya kwa muda sasa kutokana na kupata sononeko kuu linalotokana na mashindano kati ya mwili na roho.
Ninaamini humu kuna wataalamu wa "karma"naombeni mnishauri nifanye nini maana ni kama nahisi kuna kitu nakosea na sijakifanya lakini bado kitu hicho ni muhimu nikifanye.
Natanguliza shukrani.
Kweli Mkuu ila Mwalimu naye hujifunzaMbona we uko vizuri angle hizi! Majibu yako yako hapa, especially maneno mawili ya mwisho.
Kwanini tunashindwa kufanya tunayoyataka?
Lipo andiko niliwahi kuandika humu kuhusu karma unaweza kulisoma lakini maana pana ya karma ninayoifahamu ni "kumbukumbu".
Nimeweza wazi kuwa kinàchonisumbua ni karma na inasababisha mashindano kati ya mwili na roho.Weka wazi mabo usaidiwe naweza nikawa msaada kwako nina diploma in theologia .....najua kwa unayopitia na hali unayoisikia ya kupoa ki huduma weka wazi au nifate pm nikusaidie
sent from toyota Allex