Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,274
- 6,592
Karbuni sana wakuu,
Kuna changamoto nyingi za hapa na pale ila nawahakikishia kuwa hamtajuta kuchaguliwa udom.kuna mitaa mingi anbapo mimi naanza kuwafahamisha ifuatayo
1.ng'ox(huku lazima utapajua tu) .kuna vivutio vingi mno mtaa.
2.ujasi(hapa siongei sana najua wadau watakueleza vizuri kwenye hii thread)
3.jamatini(hapa ni njee ya udom ila ni muhimu kupajua pia)
nimeeleza machache naamini watakuja wengine kuongezea nyama thread hii..
wale mnaokuja informatics karibuni pia ndio college yangu.prof msele anawasubiri kwa hamu awatoe povu.
wapi mtaho the chief..
mazingira ya hostel ni mazuri sana na upatikanaji wa maji ni safi kwa informatics ila sehemu nyingine ni shida aisee.
ila mjiandae kuchelewa kupokea boom mana ndio maisha yetu hayo.
wakina world boss njooni tukaribishe wageni
karibuni sana brothers and sisters.tumejiandaa vema kuwapokea.