Karibuni twende kanisani

Karibuni twende kanisani

jojoe35

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
262
Reaction score
379
Salaam wanajamii,

Ni asubui tena tunamshukuru Mungu kwa ulinzi wake wa siku sita.Leo siku ya saba imetupasa kumshukuru kwa uhai aliotupa na kumwabudu kama alivo amuru hapo mwanzo baada ya uumbaji wa mbingu na nchi kwa siku sita.

Hivo jumuika pamoja na watakatifu wote duniani siku ya leo(jumamosi) katika kukumbuka uumbaji wa Mungu.

Neema ya Bwana iwe pamoja nanyi.

Ameen.
 
Jojoe kumbe nawewe msabato
 
Last edited by a moderator:
Ibada ni kesho unaota ndoto ww msabato
 
Achani kutenda mema machoni pa watu ili wawaone ni watu wema. Tuko njia moja ...a.k.a motoni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom