Nyie kwa siku naweza tengeneza milion ngapi? Maana wale wengine wanatengeneza milion 3 kwa siku![/QUOTE
Kwa siku kampuni inaweza kukulipa pair 16
Kila pair ni sh69000 kwa hiyo ni sawa na sh 1104000 Hiyo ni kwa account moja unaruhusiwa kuanza na account saba zidisha hiyo Mara 7 . kwa hiyo kwa siku unaweza kuingiza million saba.
Na ukipenda cheo unaruhusiwa kuongeza account kwa hiyo kwa siku unaweza ukaingiza zaidi ya million saba
Karibuni sana, evidence za watu wanaoingiza hiyo hela zipo
Alliance global in motion inajihusisha na vitu Gan mkuu, nifafanulie kdg ndgMfumo wa biashara ya mitandao ni mfumo ambao unapendekezwa kufanywa katika karne hii ya 21, kwa sababu ni mfumo ambao umeisha tengenezwa na kampuni wewe kazi yako kubwa ni kununua kwenye mfumo ambapo utaunganishwa ndani ya huo mfumo
Ukisoma kitabu cha Robert kiyosaki Ushauri kwa MTU anayetaka kuanza biashara inabidi ajikite kwenye kutengeneza mfumo na mfumo ipo ya aina tatu:-
1:Traditional C-type corporation ambapo unatengeza mfumo wako mwenyewe: Tatizo la hapa utapata changamoto nyingi pia itachukuwa muda mrefu kutengeneza mfumo, mfano mtu anayetaka kuanzisha mradi au kampuni Fulani,
2.Frenchise:- ambapo unanunua mfumo ambao umeiasha tengenezwa tiyari, Tatizo la hapa inahitajika mtaji mkubwa kuweza kununua mfumo,
3.Network marketing(multilevel marketing) hii ni biashara ya mtandao ;-ambapo unanunua kwenye mfumo uliopo, uzuri wa hapa hakuitajiki mtaji mkubwa kuweza kumiliki mfumo. Pia sio rahisi kushindwa kwasababu changamoto zote zinakuwa zimeiasha tatuliwa na wanzilishi wa mfamo, kuna changamoto za kawaida
Pia sio rahisi kushindwa kwa sababu watu walioko kwenye timu yako watakupa mbinu mbadala ya kupambanua changamoto
Pia huu mfumo unafaa sana katika ulimwengu huu wa utandawazi
Mwisho kabisa nawakaribisheni
Mujiunge kwenye kampuni yetu ya alliance global in motion yenye
Mfumo wa network marketing hakika hautajutia kujiunga wasiliana na 0757409103 kufahamu zaidi

unatafuta vichwa au sioMfumo wa biashara ya mitandao ni mfumo ambao unapendekezwa kufanywa katika karne hii ya 21, kwa sababu ni mfumo ambao umeisha tengenezwa na kampuni wewe kazi yako kubwa ni kununua kwenye mfumo ambapo utaunganishwa ndani ya huo mfumo
Ukisoma kitabu cha Robert kiyosaki Ushauri kwa MTU anayetaka kuanza biashara inabidi ajikite kwenye kutengeneza mfumo na mfumo ipo ya aina tatu:-
1:Traditional C-type corporation ambapo unatengeza mfumo wako mwenyewe: Tatizo la hapa utapata changamoto nyingi pia itachukuwa muda mrefu kutengeneza mfumo, mfano mtu anayetaka kuanzisha mradi au kampuni Fulani,
2.Frenchise:- ambapo unanunua mfumo ambao umeiasha tengenezwa tiyari, Tatizo la hapa inahitajika mtaji mkubwa kuweza kununua mfumo,
3.Network marketing(multilevel marketing) hii ni biashara ya mtandao ;-ambapo unanunua kwenye mfumo uliopo, uzuri wa hapa hakuitajiki mtaji mkubwa kuweza kumiliki mfumo. Pia sio rahisi kushindwa kwasababu changamoto zote zinakuwa zimeiasha tatuliwa na wanzilishi wa mfamo, kuna changamoto za kawaida
Pia sio rahisi kushindwa kwa sababu watu walioko kwenye timu yako watakupa mbinu mbadala ya kupambanua changamoto
Pia huu mfumo unafaa sana katika ulimwengu huu wa utandawazi
Mwisho kabisa nawakaribisheni
Mujiunge kwenye kampuni yetu ya alliance global in motion yenye
Mfumo wa network marketing hakika hautajutia kujiunga wasiliana na 0757409103 kufahamu zaidi
Yah natafuta wa kufanya nao kazi kwenye kampuni hii mpya ya alliance global in motion , tupige kazi halafu baada ya miaka mitatu tustaafuunatafuta vichwa au sio
Ahsante kwa kukosoa= franchise
aisee poa ngoja utawapataYah natafuta wa kufanya nao kazi kwenye kampuni hii mpya ya alliance global in motion , tupige kazi halafu baada ya miaka mitatu tustaafu
Sikukukosoa, nimekusahihisha.Ahsante kwa kukosoa
Njoo ujibu hapa.Alliance global in motion inajihusisha na vitu Gan mkuu, nifafanulie kdg ndg
Sent using Jamii Forums mobile app
Inajihusisha na bidhaa za food supplementsAlliance global in motion inajihusisha na vitu Gan mkuu, nifafanulie kdg ndg
Sent using Jamii Forums mobile app