Mahaba yananivunja mgongo oooohhhh!
Kasie unaniumiza mwenzio oooooh!!!
Ukinikataa nakusemea kwa Maxence Melo oooooh!
Lini utanipa japo kidogo oooooh!
dah kasie mpaka nakutungia wimbo!!!!
Asali yenu siku hizi ina nicotine. Kwa sababu mmekata miti, nyuki wanachukua maua ya tumbaku kutengeneza asali.
Inaelekea dose ya karanga na asali si mchezo , ndyo maana watu wa huko wanakuwa na miili mikubwa mikubwa
Umemiss choda eeeh
*** you.
Kwao na Lipumba?Tabora sehem gani?!
Kijijini kwetu ilolanguru
Nyumba zetu zinatizamanaKwao na Lipumba?
Afu madam miaka yote najuaga wewe mkenya ko hata article zako nazisomaga kwa tonic ya kiswahili ya Kenya kumbe we ndo mnyamwezi mwenyeweMmmhhh sijakuelewa ndugu, umesema unafanya kazi ya welding tukupe tenda au......?!!