Cymon Taylor
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,754
- 3,427
Hayo niliyajua kabla ya kufika, sio mara ya kwanza kuja huku. Ila naomba usikilizweYaani kufika jana tu ukayajua yote hayo? Wewe kama unapigia promo kwenu kuwa wazi, me mwenyewe wa kuperamihu hapo.
Bado sijatest mitambo mkuu ila ninachojua wenyewe wanasema Mngoni ni bora umpe hela itafika lakini sio mkeoVp mademu wanajua sana ule mchezo wa kitandani au kama ndugu zangu wapare tu
Hapo kwenye nyama pori nakuja,pombe situnii,totoz vip huko,kuna demu nilisoma nae anaitwa Veronika Komba advance 2005 sijui nampate nimsalimie japo najua atakua ana maisha yakeJana nimepata kufika kwa ndugu zangu wakina Komba, Mapunda na Nyoni. Kwa kweli ni wakarimu sana, kufika tu jana hiyo hiyo nikakaribishwa nyama ya porini na ubaga.
Nipo hapa Mshangano kwasasa ila badae jioni nitasogea maeneo ya Lacharz hapo nimesikia panakucha sana mida ya night.
Songea pako vizuri ila kwasasa kuna baridi limeanza. Pia mavuno yameanza, ulevi wa kutosha hivyo kama unakunywa utakutana na hizi pombe
Komoni
Myakaya
Wanzuki
Ulanzi
Chimpumu (hii hunywi mpaka ipashwe jikoni)
Karibuni Songea
Totoz zipo mkuu tena cha kushangaza wanazaa wakiwa bado wadogo age ya kuanzia 15Hapo kwenye nyama pori nakuja,pombe situnii,totoz vip huko,kuna demu nilisoma nae anaitwa Veronika Komba advance 2005 sijui nampate nimsalimie japo najua atakua ana maisha yake
Amazing sioSongea pana wachumba flan iv aisee
Pls sogea huku namtumbo, kijiji cha lingusenguse nikupatie ulanzi, on the way salimia hapo box 2,Lumecha, Namabengo, Litola, Kumbara, Lwegu, Nyalamatata then ...lingusenguseJana nimepata kufika kwa ndugu zangu wakina Komba, Mapunda na Nyoni. Kwa kweli ni wakarimu sana, kufika tu jana hiyo hiyo nikakaribishwa nyama ya porini na ubaga.
Nipo hapa Mshangano kwasasa ila badae jioni nitasogea maeneo ya Lacharz hapo nimesikia panakucha sana mida ya night.
Songea pako vizuri ila kwasasa kuna baridi limeanza. Pia mavuno yameanza, ulevi wa kutosha hivyo kama unakunywa utakutana na hizi pombe
Komoni
Myakaya
Wanzuki
Ulanzi
Chimpumu (hii hunywi mpaka ipashwe jikoni)
Karibuni Songea
Usisahau mbuzi katoriki mkuu, wamejaa hapo kila konaJana nimepata kufika kwa ndugu zangu wakina Komba, Mapunda na Nyoni. Kwa kweli ni wakarimu sana, kufika tu jana hiyo hiyo nikakaribishwa nyama ya porini na ubaga.
Nipo hapa Mshangano kwasasa ila badae jioni nitasogea maeneo ya Lacharz hapo nimesikia panakucha sana mida ya night.
Songea pako vizuri ila kwasasa kuna baridi limeanza. Pia mavuno yameanza, ulevi wa kutosha hivyo kama unakunywa utakutana na hizi pombe
Komoni
Myakaya
Wanzuki
Ulanzi
Chimpumu (hii hunywi mpaka ipashwe jikoni)
Karibuni Songea
Dah aminia sana mzee. Lumecha nimepita sio muda mrefu. Muda ukiruhusu nitakutafuta mkuuPls sogea huku namtumbo, kijiji cha lingusenguse nikupatie ulanzi, on the way salimia hapo box 2,Lumecha, Namabengo, Litola, Kumbara, Lwegu, Nyalamatata then ...lingusenguse
Karibu tena Kunyumba mkuuNimeimiss songea,nilikaa peramiho mwaka 2001,nakumbuka baadhi ya maeneo ya songea kama vile ruhuwiko,lipokela ,chaburma,kigonsera ,mpitimbi, mlalo,nk. Na kila jumamosi nilifanikiwa kusali ktk kanisa kubwa la sabato hapo mjini
Sana sana mkuu wa kutoshaUsisahau mbuzi katoriki mkuu, wamejaa hapo kila kona
Asante sana boss wangu ili nipo mbali sana na songea.mimi nipo tarime hata kusafiri kwa supper feo huwezi kufika kwa siju mojaKaribu tena Kunyumba mkuu
Vp hutamani kurudi tena mkuuHio sehemu maarufu kwa misosi hasa Kuku pana mipaka mikubwa Ila wangoni ni nyoko, nimesahau jina ndio sehemu maarufu hapo songea, Delux ni nyoko
Welldone, karibu sana lingusenguseDah aminia sana mzee. Lumecha nimepita sio muda mrefu. Muda ukiruhusu nitakutafuta mkuu