Karibuni Nyama Choma

MH!!!!!!!!! hiyo nyama kama nimeifanananisha na ili maarufu ya wakubwa du!
 
badala ya kusikilizia utamu wa hiyo mbuzi unaweza jikuta unafikiria vitu vingine ujue Boflo una masihala sa ww
 
mkuu Boflo nyama yenyewe kwa kuiangalia nzuri hasa hapo kwenye tobo
 
Last edited by a moderator:
badala ya kusikilizia utamu wa hiyo mbuzi unaweza jikuta unafikiria vitu vingine ujue Boflo una masihala sa ww

Haha utamu wa bbq jamani
 
Hiyo nyama hata ikiwa mbichi bado yaliwa tu...halafu ikibanikwa huwa yatoa majimaji kama unyevu hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…