Karibuni Ngunaa.....

Chakula halisi cha kitanzania, kesho lazima nitafutize mpaka nipate mlo wa bamia na nyanya chungu.

Kimenivutia sana chakula hiki, Nina nguna tulitumia sana shuleni form one mpaka four

Nguna yaani ugali. Nimekumbuka mbari 1990's
 
Kama una familia mwambie tuu my wife wako afanye mambo.
 
Huu ni ujuzi nilioupata nikiwa nalelewa na wazazi. .. siku hizi napika kwa namna sana. Kazi mingi naishia kununua take away.

Namshukuru Mungu kweli si haba. ...
hongera saaana, nilijua uko vzr tu kwenye mambo yaleeeee... kumbe na huku kwa mahanjumat uko vzr... swal la kizushi, una mtoto? if yes ana/wana umri gani..
 
Ninavyopenda huo msosi hadi kaharufu nimekasikia huku
 
hongera saaana, nilijua uko vzr tu kwenye mambo yaleeeee... kumbe na huku kwa mahanjumat uko vzr... swal la kizushi, una mtoto? if yes ana/wana umri gani..

Si mpishi kivileee ila makarangizo hayanipiti.

Sina mtoto.
 
Mambo yang haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…