Wa mikoani tunakulaga dona.Vyuma vimekaza atiiii. Dona, VichekBob na Kalikiti ni vyakula vinavyotokana na vyuma kukaza
CHAKULA cha mtoto
Habari za jioni,
Leo tangu asubuhi nilipata ashiki ya kujipikilisha. Nikaenda kununua mahitaji ya kitu roho ina hamu nayo, maana ya dakika 45 msosi ukawa tayari...Dona, dagaa na tembele. Pilipili ya kusaga kwa mbalii....
Sio mpishi wa kila siku walau leo nimejipikilisha, hapa yaweza pita miezi 4 ndo nikapata tena ashiki ya kupika.
View attachment 711476
Karibuni pishi la Kasie.
Kasinde.
Vyuma vimekaza atiiii. Dona, VichekBob na Kalikiti ni vyakula vinavyotokana na vyuma kukaza
Ningebatika kupata mwanamke wakupika kwa ustadi namba hiyo ningefarijika sana, hususani Bamia
Hongera sana kwako