NTEGEYE Jr
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 322
- 286
Pamoja na kuwa KATIBA yetu ya JMT(1977) haijafafanua wala kueleza lolote juu ya sifa za kuteuliwa kuwa na ELIMU ya kiasi gani (Ibara ya 61(1)-(5) na 67(1) a-c na (2) a-h), lakini bado katika dunia ya sasa, sifa ya kujua kusoma na kuandika HAITOSHI kabisa kuwa MMOJA wa viongozi wakuu wa Nchi kama Waziri, RC na DC au hata kuchaguliwa kama Mbunge na mwakilishi wa Wananchi.
Mh. Angel Kairuki (W) ni Wakili Msomi na sidhani kama maamuzi na mwogozo wa kuwaondoa wanasiasa walio katika utumishi wa Umma kwenye UTAFITI wake ameridhika au amelinda kibarua chake.
Hapa duniani hakutakuwa na HAKI kamwe, Mnyonge atabaki kuwa Mnyonge tu, Haki zote Mbinguni. Ngoja tuendelee kufichana tu.
Hiyo Katiba haijaketwa na MaguLengo hapa ni kuondoa watu wote waliofoji kama Bashite, iweje wana siasa waachwe kisa Bashite ana cheti feki?
Lawyers wanasemaje. Kwani mkuu wa wilaya akiforge au kuiba watasema cheo chake kinahitaji kujua kusoma tu na ataendelea na cheo?Hii yote imelenga kumlinda Makonda, tunawashukuru sana ila ipo siku Mungu atatulipia kilio chetu watumishi wa umma na watanzania kwa ujumla
NonsenseKwahiyo Lengo lako nini
kwamba Mbowe Kubenea
Lema hawakustahili kuwa Wabunge!!
Unaelewa maana ya kiwango cha elimu na kosa la jinai au ni kipofu mpaka akilini?Hiyo Katiba haijaketwa na Magu
katiba ya mwaka 77
Imempa Uhuru Mbowe kuwa KUB hata kama ni ZERO
Hao waliomba kura,katiba inaruhusu. Katiba hairuhusu vyeti fake. Kuna tofauti kati ya aliyefeli akajikubali kafeli,na aliyefeli akagushi na kuendelea na elimu kwa kugushi cheti cha elimu ya chini ili kupata previlege kwenye elimu ya juu.Kwahiyo Lengo lako nini
kwamba Mbowe Kubenea
Lema hawakustahili kuwa Wabunge!!
Lawyers mwenyewe ndo hawa hawa kina msando wanaolalamika pamoja na sie badala ya kuchukua hatuaLawyers wanasemaje. Kwani mkuu wa wilaya akiforge au kuiba watasema cheo chake kinahitaji kujua kusoma tu na ataendelea na cheo?
Nonsense
Kama sheria ndivo ilivo yes hawastahiliKwahiyo Lengo lako nini
kwamba Mbowe Kubenea
Lema hawakustahili kuwa Wabunge!!
Sheria ipi iyo!!Kama sheria ndivo ilivo yes hawastahili
Hao waliomba kura,katiba inaruhusu. Katiba hairuhusu vyeti fake. Kuna tofauti kati ya aliyefeli akajikubali kafeli,na aliyefeli akagushi na kuendelea na elimu kwa kugushi cheti cha elimu ya chini ili kupata previlege kwenye elimu ya juu.