Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,003
- 168,571
Ardhi yetu ni kijani muda wote. Na ng'ombe wetu wamenawiri.
Wachagga washambaaaaaaaaaaaaWakukajha nimecheka sana
Baridi ikizidi ng'ombe huvalishwa Sox Na kufunikwa mablanketi. Jamaa wanaenda mifugo kuliko wake zaoWakukajha nimecheka sana
Nipo ndugu
UmenishtuaArdhi yetu ni kijani muda wote. Na ng'ombe wetu wamenawiri.
![]()
Google mswangaUmenishtua
Eti ""karibu moshi tupige picha""
Nikawaza kule kwa pusha ukisema moshi nadhani unaelewa nini na maanisha.
Dude lenyewe ili kuupata moshi unakuwa mafichoni, cha kushangaza eti tupige na picha daaah[emoji15] [emoji15] [emoji15]