Karibuni! Karibuni! Karibuni wote kwenye kundi jipya! Wanataaluma wa Biblia Wakatoliki Tanzania na waamini wanaopenda Biblia wanafungua Kituo maalum cha kufanyia semina na kutolea kozi za Biblia Jijini Dodoma. Kituo kitajulikana kwa jina la CATHOLIC BIBLICAL CENTRE (CBC). Kituo kinafungua akaunti hii ya WhatsApp kwa ajili ya mawasiliano na kupeana masomo mbalimbali. Karibuni sana! Kundi hili ni kwa ajili ya wote wanaotaka kujifunza Biblia. Katikati ya mwezi ujao, tutaanza kufundisha Biblia Kikatoliki. Kumbe, mnakaribishwa kujiunga. Namba ni 0788462833. Karibuni kujiunga!
From: PD TITUS AMIGU.
------------------------------------------------
Na moja ya mambo yatyofundishwa ni kuandika na kusoma KIGIRIKI na KIEBRANIA ili mtu kwa msaada wa kamusi ndogo aweze kurudi mwenyewe kwenye biblia asilia kwa baadhi ya mambo yatakayotinga.