Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,351
Kuna mtoto wa jirani anafanyiwa birthday, anaitwa Latifah a.k.a 'Tifa'! sasa kulikuwa na kasherehe mshenzi hapa Mikocheni uswahilini, camp ya Adventure, kalikofuatiwa na disko vumbi a.k.a kigodoro mpaka chwee!
Mama shughuli, Hadija Legelege ndo yupo anatimbwilika kati akisaidiwa na mashosti zake, Maria Chawote na Asha Boba.
Karibuni wadau tulale kwa kusimama...
Mama shughuli, Hadija Legelege ndo yupo anatimbwilika kati akisaidiwa na mashosti zake, Maria Chawote na Asha Boba.
Karibuni wadau tulale kwa kusimama...