Karibuni kwa huduma zote za ujenzi

Karibuni kwa huduma zote za ujenzi

Joined
Jan 18, 2022
Posts
13
Reaction score
49
Kuna ombwe la mafundi kutekeleza kwa uhaba kazi uejzi wa nyumba za wadau mbalimbali ,hii Ni pamoja na uaminifu wa mali za wateja zinakuwa mashakani kwa asilimia kubwa.

Sasa suluhisho ni Uvimo Civil Group.
Hawa wanatoa hudu zote kuanzia Kuchora ramani na mengine yote hadi una kabidhiwa ufunguo.

Kazi inaenda haraka sana na kwa uaminifu mkubwa.

Kwa wewe ambae muda wako wa kusimamia ni mdogo, Basi tunakushauri uwasiliane na Uvimo Civil Group kwa huduma njema.

Mawasiliano
0629361896 -Kupiga
0753927572 -WhatsApp na kupiga
View attachment 2103797View attachment 2103796View attachment 2103798View attachment 2103799
 
Naombeni kazi ya ufundi rangi yani sciming na painting kwenu apo
 
Wapo watu wamejenga nyumba za mabox tu (mstatili au mraba), wanatamani zinge pauliwa kwa mtindo wa kisasa, na hawajui vipi wanaweza kufanya ili nyumba zao za ndoto ziwe na mwonekano wenye Radha tofauti.

Uvimo Civil Group , tunakuhakikishia kukata kiu yako kwa kuku paulia nyumba yako ya box kwa mwonekano makini.

Fungua picha zote uone miundo tofauti ya nyumba moja inayo tayarajia kupauliwa.

Wasiliana nasi
Uvimo Civil Group
0753927572 -WhatsApp
0929361899 -Kupiga

View attachment 2151041View attachment 2151042View attachment 2151043View attachment 2151044View attachment 2151045
Model #01
IMG_20220311_100426_4.jpg
 
Mikono haisaidii ndugu. Weka ramani na kazi zako watu wote waone.
 
Habari wadau!

Kwa wale wenye uhitaji wa timu ya ujenzi kuanzia ramani hadi kukabidhi ufunguo kila hatua ikiwa na viwango sahihi, basi wasiliana nasi Uvimo Civil Group.

Tunaposema unakabidhiwa ufunguo tuna maana hii.
Timu yetu imesheheni wataalaam wa kila aina ya kile ukitakacho katka nyumba yako ikiwa ni pamoja na usambazaji wa frem za milango, milango ,magril na alminiam.

Je, wadau katika group la Uvimo Public Cente wana semaje?

0629361096 -Kupiga
0753927572 -WhatsApp

View attachment 2225162View attachment 2225163View attachment 2225164View attachment 2225166
Hii ikija kupigwa rangi itakuwa Baba lao
 
Habari wadau!

Kwa wale wenye uhitaji wa timu ya ujenzi kuanzia ramani hadi kukabidhi ufunguo kila hatua ikiwa na viwango sahihi, basi wasiliana nasi Uvimo Civil Group.

Tunaposema unakabidhiwa ufunguo tuna maana hii.
Timu yetu imesheheni wataalaam wa kila aina ya kile ukitakacho katka nyumba yako ikiwa ni pamoja na usambazaji wa frem za milango, milango ,magril na alminiam.

Je, wadau katika group la Uvimo Public Cente wana semaje?

0629361096 -Kupiga
0753927572 -WhatsApp

View attachment 2225162View attachment 2225163View attachment 2225164View attachment 2225166
Mko vizuri Uvimo
 
MWANZO WA FINISHING ZA KISASA

Leo katika Uvimo Maktaba
Angazio Maridhawa ni juu ya maulizo ya wiki iliyo pita,

Kati ya brandaring na plasta kipi kinaanza?

Na changamoto zipi zinakuwepo endapo kimoja kitaanza?


1BRANDERING -Utandikaji wa mboa za za dali ikiwa ni maandalizi ya kufunga gypsum board kwa adhma ya urembo na usalama.

2PLASTER/LIPU
Ni urainishaji wa kuta za nyumba kwa adhma ya urembo na uimarishaji.

Manufaa ya brandering kabla ya plasta

1-Kuimarisha dali.
Ukisha weka mbao brandering na kupiga plasta , 1' ya mbao za ukutani ambayo pia ni sawa na 50% itakaa juu ya udongo wa lipu, na kuongeza uimara wa dali.

2-Kuziba mianya midogo midogo chini ya mbao za ukutani
Kawaida mbao za ukutani inatakiwa zibane nafasi zote, hapa ni wajibu wa fundi kuhakikisha mianya inazibwa.
Ikiwa lipu ilisha pigwa, hata baada ya kufunga mikanda ya boord wakati mwingine mikanda inafunguka kwa chini kwa sababu mbalimbali ikiwemo uhitaji wa servi na kuruhusu uchafu kudondokea ndani, kwa kufanya brandering mapemba huchangia kudhibiti hili.

Manufaa ya plasta kabla ya brandering

Manufaa yatatokana na uwezo fundi , kutoacha nafasi ukutani.l, hata hivyo mlalo wa mbao juu ya plasta hukaa vizuri.

Mapungufu kwa pande zote

Kwa kuzingatia brandering kabla ya plasta, kuna tumesema 1' (50%) ya ubao kwa kuupasua utafichwa na plasta, logically kuna kitu hapa anahitaji kukifanya kuepuka kuanza kukata bodi na kusababisha mwonekano mbaya.
Kwa ufupi, endapo fundi hatokuwa mjuzi wengi hupotea.

Kipi kianze
Inashauriwa kuanza brandering,

Kama unaona brandering sio mhimu sawa , basi agharabu piga mkanda wa pembeni kwanza , hii nao inampa awheni fundi wakati wa kuweka mbao za dali.

Maktaba` inakushauri kuwatumia wataalam wa Uvimo kwa motokeo mazuri kwa muda mfupi..

Wasiliana nasi
Uvimo Civil Group,

WhatsApp
0753927572

Kupiga
0786821172
0753961896
0629361896View attachment 2278821View attachment 2278822
ASANTE KWA SOMO ZURI
 
Back
Top Bottom