karibuni kilimanjaro wakuu

Mkuu Moshi hawanywi pombe dizaini hiyo,itakua kabila lingine labda....yaani watu wananyea kwenye kihondi namna hiyo,sijawahi ona,Im sorry
 
loooo, hapo ukiamua kurudisha kohozi si unarudishia tu, mi ningekuwa nakaa karibu na mbaya wangu sinywi ila Nazi yangu ni kutema makohozi tu
 
Huko ni kwa Mizengo Pinda ndiyo wanakunywa hivyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…