Pastor Achachanda JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 3,023 Reaction score 1,317 May 6, 2015 #2 Mbona hamna chakula hapo?
L lolowapi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2014 Posts 1,135 Reaction score 490 May 6, 2015 #3 Bulldog said: View attachment 249543 Click to expand... Junk food kansa tupu.
jembe afrika JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 7,602 Reaction score 3,783 May 6, 2015 #4 Mkuu hiyo Ni lunch
K kimbwe JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 707 Reaction score 213 May 6, 2015 #5 Achana na hivyo chakula wewe.
Dragoon JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 7,012 Reaction score 8,150 May 6, 2015 #6 Nikajua nakuta maandazi ya Azam
mwarenga amani Member Joined Dec 22, 2014 Posts 27 Reaction score 4 May 6, 2015 #7 hilo pambo au chakula
TEMLO DA VINCA JF-Expert Member Joined Sep 1, 2013 Posts 3,087 Reaction score 3,392 May 6, 2015 #8 Junk food
mjukuum JF-Expert Member Joined Dec 8, 2014 Posts 5,257 Reaction score 2,850 May 6, 2015 #9 mwarenga amani said: hilo pambo au chakula Click to expand... Ni picha kwenye maduka
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,439 May 6, 2015 #10 Kitu halisi hiki hapa bwana.
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,761 Reaction score 128,260 May 6, 2015 #11 Bulldog said: View attachment 249543 Click to expand... Ukila Hiki Chakula Lazima Wanaume Wenzako WATELEZE Tu Na Wewe Ktk Kufukua UVUNGU Kwani Ni Chakula Ambacho Kimeharibu Mno Kizazi Cha Vijana Wengi Wa Kiume Nchini Marekani.
Bulldog said: View attachment 249543 Click to expand... Ukila Hiki Chakula Lazima Wanaume Wenzako WATELEZE Tu Na Wewe Ktk Kufukua UVUNGU Kwani Ni Chakula Ambacho Kimeharibu Mno Kizazi Cha Vijana Wengi Wa Kiume Nchini Marekani.
Dragoon JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 7,012 Reaction score 8,150 May 6, 2015 #12 Sky Eclat said: Kitu halisi hiki hapa bwana. Click to expand... Tukaribishe basi, hiki ndo chetu
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 May 6, 2015 Thread starter #13 Sky Eclat said: Kitu halisi hiki hapa bwana. Click to expand... Hata kwa bure sili mihogo
Dragoon JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 7,012 Reaction score 8,150 May 6, 2015 #14 Bulldog said: Hata kwa bure sili mihogo Click to expand... ukila mihogo unashiba siku nzima
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,236 Reaction score 26,770 May 6, 2015 #15 Sky Eclat said: Kitu halisi hiki hapa bwana. Click to expand... inaonekana mitamu hiyo
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 May 6, 2015 Thread starter #16 Dragoon said: ukila mihogo unashiba siku nzima Click to expand... Nani kasema nataka kushiba mkuu?? Labda vinyangarika.
Dragoon said: ukila mihogo unashiba siku nzima Click to expand... Nani kasema nataka kushiba mkuu?? Labda vinyangarika.
Dragoon JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 7,012 Reaction score 8,150 May 6, 2015 #17 Bulldog said: Nani kasema nataka kushiba mkuu?? Labda vinyangarika. Click to expand... Ukiseme vinyangarika hapa wengi hawatokuelewa, hawafahamu. Labda uwaambie green beans
Bulldog said: Nani kasema nataka kushiba mkuu?? Labda vinyangarika. Click to expand... Ukiseme vinyangarika hapa wengi hawatokuelewa, hawafahamu. Labda uwaambie green beans
Victoire JF-Expert Member Joined Jul 4, 2008 Posts 25,049 Reaction score 60,246 May 6, 2015 #18 Hapa nina kilo 74,nikila hayo ma vitu si ndo nitafika 100kgs,asante kula tu mwenyewe
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 May 6, 2015 #19 Bulldog said: Hata kwa bure sili mihogo Click to expand... Hahahahahah umechekesha weye kuna mkaka alisema akila mihogo inamsimama tumboni lol
Bulldog said: Hata kwa bure sili mihogo Click to expand... Hahahahahah umechekesha weye kuna mkaka alisema akila mihogo inamsimama tumboni lol
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 May 6, 2015 Thread starter #20 Dragoon said: Ukiseme vinyangarika hapa wengi hawatokuelewa, hawafahamu. Labda uwaambie green beans Click to expand... Mfinyio wa greenbeans mkuu
Dragoon said: Ukiseme vinyangarika hapa wengi hawatokuelewa, hawafahamu. Labda uwaambie green beans Click to expand... Mfinyio wa greenbeans mkuu