jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,134
- 8,656
karibu sana mkuuSafi sana Mkuu
Nina mpango wa kuzilenga Vits 2 hivi nizifanye Uber hapa Town. Nikiwa fresh nitakucheki Boss
🙏🙏🙏karibu sana mkuu
Safi sana Mkuu
Nina mpango wa kuzilenga Vits 2 hivi nizifanye Uber hapa Town. Nikiwa fresh nitakucheki Boss
Mtaji kiasi gani?Habari
Kwa majina naitwa Jerry na ninajihusisha na uuzaji wa magari used nikiwa kama dalali kwa muda mrefu ndani ya Dar es Salaam.
Leo ningependa kushare nanyi kuhusu biashara hii ya magari hasa used hapa Dar es Salaam, biashara ambayo ina faida kubwa ambayo wengi sana bado hawajaijua.
BIASHARA HII INAFANYIKAJE?
Biashara hii hufanyika kwa mtu(mfanyabiashara) kutafuta gari na gari hizi mara nyingi hupatikana kwa watu wenye shida, bima na taasisi za mikopo na bank.
Kwa mfano gari aina ya ist inaweza kuwa na changamoto ndogo mathalani ya shilingi 300k mpaka muda mwingine 1m na gari hiyo husika inauzwa na mmiliki kwa gharama za shilingi 6m, wakati thamani husika ya hiyo gari sokoni ni 11 au 10m ukitoa ile 7m unabakia na kama 4m au 3m ikiwa kama faida ya gari husika.
Mara baada ya mfanyabiashara kuipata gari husika, gari ambazo huitwa za kulengwa kwa jina maarufu, then huchukua gari hiyo na kuiweka sokoni kwa bei ya faida, mara baada ya kuiuza hutafuta nyingine na kazi huwa inafanyika hivyo.
JE KAZI HII INACHAGUA JINSIA?
Jibu ni hapana kazi hii inaweza kufanywa na mtu yoyote au mwanaume au hata mwanamke.Na ni biashara ambayo haitumii mda mrefu sana ni kitendo cha kukubaliana bei na mteja na biashara kufanyika.
GARI HUPATIKANA VIPI.
Kama nilivyosema hapo awali kuwa gari hizi za kulenga huwa zinapatikana kupitia watu wenye shida ya hela,taasisi za kifedha za mikopo,bima n.k,ili kuzipata gari hizo za kulenga unaweza kuzipata kupitia madalali wa kulengesha ambao huwa na connection na wamiliki wa gari husika.
MAMBO YA KUZINGATIA UNUNUAPO GARI,
Kama zilivyo biashara nyingine hii pia ni biashara yenye kuhitaji umakini na uzoefu hasa kwenye kuchagua gari nzuri ili upate kuiuza vizuri vile vile,bila kusahau kupiga hesabu sahihi endapo kama gari husika itahitaji matengenezo kwa kuwa na uzoefu wa spear husika .
KARIBU UWEKEZE KWENYE BIASHARA HII NAMI.
Nakukaribisha uje kuwekeza kwenye biashara hii kwa kutafuta gari na kuuza pamoja nami, Nitakusaidia kutafuta gari nzuri ambayo kupitia mimi nitatafuta wateja na kuiuza kwa faida nzuri.
Kinachofanyika baada ya kupatikana gari unaweza kuitumia gari husika/kubaki nayo ukiwa unaitimia wewe mwenyewe au unaweza kuiacha ofisini kwetu hadi pale mteja atakapotokea wakati huo ntakuwa naitangaza ukiaachilia mbali kuwatumia madalali ote wa magari ili nao waiuze,wakati huo documents zote ukiwa nazo mwenyewe mteja akifika unakuja nazo au tunakufata tunamaliza biashara.
Biashara hii haihitaji usimamizi wako labda kama utaamua mwenyewe sababu kuanzia kutafuta gari mpaka kuliuza mie ndo ntakayekuwa na pambana kwa maana hyo unaweza kuendelea kufanya kazi zako nyingine huku ukiendelea kufanya biashara hii ya magari.
Endapo kama utakuwa interested karibu tufanye biashara hii pamoja mie nipo magomeni na ni mzoefu wa hii biashara,endapo utakuwa tayari nakukaribisha japo katika faida ya kila gari ntakuwa nachukua faida ya 30%
Nikiwa na maana kam utabakia na documents na gari kunikabidhi basi gari hyo itabakia ofisini kwetu ambako tuna chama kabisa,ambako gjarama za parking na ulinzi wa gari zitakuwa juu yangu pamoja na hela ya mafuta ambayo wateja watakuwa wanakagulia itakuwa juu yangu pia,lakini gari ikishauzika mie ntakuwa nachukua 30% ya faida ile ambayo tutakuwa tumekubaliana,na ile 70% utabakia nayo wewe kama mmiliki,Karibu uwekeze kwenye hii biashara ambayo haina gharama nyingine yoyote na wala haikatwi kodi lakini yenye faida nzuri.
kwa mwenye kuhitaji anakaribishwa 0659756647 na mwenye maoni au kuhitaji ufafanuzi anaweza nitafuta au kuuliza hata hapa hapa
ahsanteni
Kumbe inaweza kuwa inalipa kiasi hicho, Nitajaribu MkuuUkilenga vitz 2 ukarekebisha ukauza, kamwe huyotamani kufanya biashara ya ubber, wewe kazi yako itakua hiyo, hakikisha gari unaifanyia ukaguzi wa kutosha kama kubadili gear, rangi yake, kama ina ajali, mwamba, mfumo wa oil, uhalali wa chombo husika, biashara hii ukiifanya kwa ufanisi nakuhakikishia faida yake ni kubwa na uwe unahakikisha unalenga magari mazuri tu yenye soko kama ist, vitz, spacio, harrier, kuluger, vanguard, kulingana na mtaji wako au unaweza ukaamua ujikite na townaice tu au virikuu, tena unaweza kuanza na gari moja ubaoni hakika mwaka kuja kuisha kama ulikua serious sana huwezi kukosa gari walau nne ubaoni ambazo kila moja itaacha pesa nzuri tu
Habari
Kwa majina naitwa Jerry na ninajihusisha na uuzaji wa magari used nikiwa kama dalali kwa muda mrefu ndani ya Dar es Salaam.
Leo ningependa kushare nanyi kuhusu biashara hii ya magari hasa used hapa Dar es Salaam, biashara ambayo ina faida kubwa ambayo wengi sana bado hawajaijua.
BIASHARA HII INAFANYIKAJE?
Biashara hii hufanyika kwa mtu(mfanyabiashara) kutafuta gari na gari hizi mara nyingi hupatikana kwa watu wenye shida, bima na taasisi za mikopo na bank.
Kwa mfano gari aina ya ist inaweza kuwa na changamoto ndogo mathalani ya shilingi 300k mpaka muda mwingine 1m na gari hiyo husika inauzwa na mmiliki kwa gharama za shilingi 6m, wakati thamani husika ya hiyo gari sokoni ni 11 au 10m ukitoa ile 7m unabakia na kama 4m au 3m ikiwa kama faida ya gari husika.
Mara baada ya mfanyabiashara kuipata gari husika, gari ambazo huitwa za kulengwa kwa jina maarufu, then huchukua gari hiyo na kuiweka sokoni kwa bei ya faida, mara baada ya kuiuza hutafuta nyingine na kazi huwa inafanyika hivyo.
JE KAZI HII INACHAGUA JINSIA?
Jibu ni hapana kazi hii inaweza kufanywa na mtu yoyote au mwanaume au hata mwanamke.Na ni biashara ambayo haitumii mda mrefu sana ni kitendo cha kukubaliana bei na mteja na biashara kufanyika.
GARI HUPATIKANA VIPI.
Kama nilivyosema hapo awali kuwa gari hizi za kulenga huwa zinapatikana kupitia watu wenye shida ya hela,taasisi za kifedha za mikopo,bima n.k,ili kuzipata gari hizo za kulenga unaweza kuzipata kupitia madalali wa kulengesha ambao huwa na connection na wamiliki wa gari husika.
MAMBO YA KUZINGATIA UNUNUAPO GARI,
Kama zilivyo biashara nyingine hii pia ni biashara yenye kuhitaji umakini na uzoefu hasa kwenye kuchagua gari nzuri ili upate kuiuza vizuri vile vile,bila kusahau kupiga hesabu sahihi endapo kama gari husika itahitaji matengenezo kwa kuwa na uzoefu wa spear husika .
KARIBU UWEKEZE KWENYE BIASHARA HII NAMI.
Nakukaribisha uje kuwekeza kwenye biashara hii kwa kutafuta gari na kuuza pamoja nami, Nitakusaidia kutafuta gari nzuri ambayo kupitia mimi nitatafuta wateja na kuiuza kwa faida nzuri.
Kinachofanyika baada ya kupatikana gari unaweza kuitumia gari husika/kubaki nayo ukiwa unaitimia wewe mwenyewe au unaweza kuiacha ofisini kwetu hadi pale mteja atakapotokea wakati huo ntakuwa naitangaza ukiaachilia mbali kuwatumia madalali ote wa magari ili nao waiuze,wakati huo documents zote ukiwa nazo mwenyewe mteja akifika unakuja nazo au tunakufata tunamaliza biashara.
Biashara hii haihitaji usimamizi wako labda kama utaamua mwenyewe sababu kuanzia kutafuta gari mpaka kuliuza mie ndo ntakayekuwa na pambana kwa maana hyo unaweza kuendelea kufanya kazi zako nyingine huku ukiendelea kufanya biashara hii ya magari.
Endapo kama utakuwa interested karibu tufanye biashara hii pamoja mie nipo magomeni na ni mzoefu wa hii biashara,endapo utakuwa tayari nakukaribisha japo katika faida ya kila gari ntakuwa nachukua faida ya 30%
Nikiwa na maana kam utabakia na documents na gari kunikabidhi basi gari hyo itabakia ofisini kwetu ambako tuna chama kabisa,ambako gjarama za parking na ulinzi wa gari zitakuwa juu yangu pamoja na hela ya mafuta ambayo wateja watakuwa wanakagulia itakuwa juu yangu pia,lakini gari ikishauzika mie ntakuwa nachukua 30% ya faida ile ambayo tutakuwa tumekubaliana,na ile 70% utabakia nayo wewe kama mmiliki,Karibu uwekeze kwenye hii biashara ambayo haina gharama nyingine yoyote na wala haikatwi kodi lakini yenye faida nzuri.
kwa mwenye kuhitaji anakaribishwa 0659756647 na mwenye maoni au kuhitaji ufafanuzi anaweza nitafuta au kuuliza hata hapa hapa
ahsanteni
Mtaji kiasi gani?
Kumbe inaweza kuwa inalipa kiasi hicho, Nitajaribu Mkuu
Sio rahisi kama unavyofikiria, hii ni sawa na ile biashara ya Matikiti kwenye karatasi, nenda kayalime
Hivi ubber kama unafanya mwenyewe inalipaSafi sana Mkuu
Nina mpango wa kuzilenga Vits 2 hivi nizifanye Uber hapa Town. Nikiwa fresh nitakucheki Boss
uko sahihi mkuuUkilenga vitz 2 ukarekebisha ukauza, kamwe huyotamani kufanya biashara ya ubber, wewe kazi yako itakua hiyo, hakikisha gari unaifanyia ukaguzi wa kutosha kama kubadili gear, rangi yake, kama ina ajali, mwamba, mfumo wa oil, uhalali wa chombo husika, biashara hii ukiifanya kwa ufanisi nakuhakikishia faida yake ni kubwa na uwe unahakikisha unalenga magari mazuri tu yenye soko kama ist, vitz, spacio, harrier, kuluger, vanguard, kulingana na mtaji wako au unaweza ukaamua ujikite na townaice tu au virikuu, tena unaweza kuanza na gari moja ubaoni hakika mwaka kuja kuisha kama ulikua serious sana huwezi kukosa gari walau nne ubaoni ambazo kila moja itaacha pesa nzuri tu
Usitishe watu ni biashara ya kawaida kabisa, kikubwa uisome na nimeweka risk zake baadhi, mtoa maada kaweka namba ya simu lakini wengine tunajaribu kuwaongezea nini kinatakiwa ili uifanye kwa ufanisi
Kwahiyo mtaji unatakiwa uwe nao kuanzia kiasi gani??
Inavyoonekana inalipa, kuna baadhi ya watu wakimaliza kazi za Kuajiriwa unakuta Jioni anapiga zake Uber/Bolt kuongeza kipato.Hivi ubber kama unafanya mwenyewe inalipa
That's good news 👍Sio inaweza hii code wanaijua wapemba, waunguja, wakinga, na watoto wengine wengi wa mjini na ukiwa unajielewa chap tu na mjini hautoki kizembe maana wewe unafanya kazi ukiwa umechomekea tu