100 SANDALS CO.
Member
- Apr 3, 2015
- 41
- 5
- Thread starter
- #21
Bei kaka bei, weka bei mkuu fanya biashara za kisasa bana kila ktu bei!
Viatu vya kiume na kike Bei ya jumla ni 11000 na rejareja ni 15000
Bei kaka bei, weka bei mkuu fanya biashara za kisasa bana kila ktu bei!
Bei Mkuu hapa hapa tunaomba.
päiva;12349824 said:@ 100 SANDALS CO Weka na picha na bei za sandals za kiume pia.
päiva;12349824 said:@ 100 SANDALS CO Weka na picha na bei za sandals za kiume pia.
päiva;12545460 said:Habari za kazi.
Kazi yako ni nzuri sana. na asante kwa picha. Nitakutafuta katikati ya mwezi wa saba, mwaka huu.
mali nzuri sana,sijui tuliopo kigoma tunaweza pata huduma?
Nahitaji mzigo mkuu, ila mbona hapa ubungo tunapata rejareja kwa 10000 hasa Hizo za kiume.