Habari zenu wana JF,
Huko kwetu nilikozaliwa na kukulia kwenye utamaduni mzuri, kitu kizuri unakula na nduguyo. Sasa nawakaribisheni japo mle kwa macho.
Je, hicho chakula ni kitamu ? Mbona unaangali tu bila kusema neno. Naomba maoni yako ili niweze kukiboresha.