Karibu ukope, kukopa sio risk

Karibu ukope, kukopa sio risk

MR KWACHA

Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
85
Reaction score
73
Karibu ukope kukopa sio risk. Fahamu kwanini biashara nyingi ndogo ndogo hufa.
Habari
Watu wengi tumekuwa na mtazano wa kuwa kukopa ni kuweka rehani mali Yako kwani sio jambo zuri kuanza biashara Kwa pesa ya mkopo Kwasababu biashara nyingi siku hizi hazieleweki.
Naomba nieleze ukweli wa kuwa kukopa sio risk kama tu utakuwa unajua unafanya nini au Kwa maelezo mengine ni kuwa kukopa pesa ya kuanzisha biashara sio risk kama una ujuzi wa kutosha kuhusu biashara husika.
Naomba kutoa sababu ya kwann biashara nyingi zinafeli na watu kuogopa kukopa Kwa kuhofia kufilisiwa mali zao walizoweka rehani.
UELEWA MDOGO KUHUSU BIASHARA, watu wengi huamini kuwa kufanya shughuli yeyote ambayo inawaingizia faida basi hiyo ni biashara. Mfano nimenunua machine ya kutengeneza popcorn na nikaanza kutengeneza popcorn na kuziuza na nikawa ninapata faida basi nipo ninafanya biashara ya popcorn. Kwa mfano mwingine labda nimepata pesa nimeamua kufungua biashara ya mgahawa na nikawa ninafanya KAZI au nikawa naisimamia na ikawa inanipa faida basi ninafanya biashara.
Mtazano huu sio wa ukweli na ndio sababu kuu ya biashara nyingi zinafeli. Ukweli ni kwamba ukiona unafanya shughuli yeyote unayoiita biashara na please ndio unapojaribu kujitenga au kujiweka mbali na shughuli hiyo shughuli hiyo itakufa basi hiyo siyo biashara hiyo ni kazi. Kwa maneno mengine kama unafanya biashara ya duka la urembo na vipodozi "Sarah beautiful shop", pindi unapotumia kutoka na kuacha mtu mwingine pasipo usimamizi wako wa Moja Kwa Moja biashara Yako itafilisika au kufungwa basi kaa ukijua kuwa unamiliki kazi kama wafanyakazi wengine Kwa maelezo mengine wewe ni muuza duka na sio mfanyabiashara wa urembo na vipodozi.
Ili iitwe biashara lazima iwe na viru viwili vikuu, Moja lazima iwe na uongozi imara pili lazima iwe na system, mifumo au utaratibu mzuri wa utendaji kazi.
Tuchukulie mfano wa biashara ya Sarah beautiful shop yeye anaiita kuwa ni biashara lakini uhalisia ni KAZI. Biashara ya Sarah beautiful shop inafunguliwa saa tatu asubuhi na kufungwa saa mbili jioni. Baada ya Sarah kufungua anafanta usafi yeye mwenyewe anapanga vitu yeye mwenyewe, bili za maji umeme na Kodi atalipa yeye kiufupi shughuli zote atafanya yeye Kwa lugha nyingine biashara ya Sarah beautiful shop inamtegemea Sarah Kwa kila kiru na system zote za kibiashara zipo juu yake mfano marketing and sales yeye ndio saleswoman and promoter wa biashara yake, system ya finance yeye ndio accountant and auditor wa biashara ya Sarah beautiful shop na system ya management yeye ndio manager he entrepreneur. Sio ambayo Sarah ataugua au kwenda kwenye sherehe hatà kama atamuachia mtu biashara ile lazima idumae au ife kama atakaa Kwa muda mrefu.
Biashara ili iweze kukua mtaji sio kigezo pekee Cha biashara kukua, kabla ya kuja kukopa hakikisha unaweka mazingira mazuri ya biashara Yako weka systems zote Vizur ambazo zitasaidia biashara kukua na management nzuri.
Karibu ukope kwetu, mkopo wetu unaaanzia milioni moja hadi billion Moja
Mdhamana wake ni Kiwanja àu nyumba vyenye hati Toka serikalini na KADI YA GARI
Riba yake ni asilimia 3.5 Kwa mwezi
Mkopo ni miezi 6 12 au 24

Kwa wenye uhitaji wa mkopo na ushaur kuhusu biashara
0686153806
 
Nyie ni akina OYA ? mke alikopa bila mume kujua, jamaa wakapiga mume hadi wakauwa....

Hizi kausha damu sio poa ! Nikitaka mkopo nitakopa kazini kwangu direct nikatwe na sio mtaani ....
 
Nini kinafanya mikopo ya kausha damu (Finca, brak, vicoba, Oya nk nk itese sana kina mama katika marejesho?
 
Nyie ni akina OYA ? mke alikopa bila mume kujua, jamaa wakapiga mume hadi wakauwa....

Hizi kausha damu sio poa ! Nikitaka mkopo nitakopa kazini kwangu direct nikatwe na sio mtaani ....
Mkuu hakuna mkopo wa kausha damu wa mpaka billion Moja
 
Mnapewa namba mkanyongewe huko, kaeleza mambo mengi kuhusu mambo ya kukopa, na ushawishi, ajaongealea hata term Moja na masharti ya kukopa ili tum challenge hapa, katoa namba akawaulie huko,

Kamwe, don't ever fall for these kind of things/ scam
 
Nataka mkopo nianzishe mikopo ila sina nyumba wala kiwanja nina mashamba hekaki 8 kilometar 10 kutoka katikati ya mji je nafaa kukupeshwa
 
Back
Top Bottom