Kwanza ;;Hongereni kwa wale wote walioweza kukidhi vigezo vya kusoma Advanced na kuridhia kuendelea kusoma Advanced.
•~ Moja ya changamoto mtakazo kutana nazo mtakapo kwenda shule hasa wale watakaosoma Comb za PCM,PGM,PCB na EGM ni uhaba wa walimu husika wa masomo hayo au uwezo mdogo wa kuwafundisha hata kama wapo.
•~Nachukua nafasi hii kuwakaribisha wale wote watakao chukua Comb zenye Somo la Advanced Mathematics Yan PCM,PGM na EGM . Ukiwa ni mzazi au mlezi au mwanafunzi husika Mkazi wa Dar es Salam nakukaribisha kuanza mapema tution ya somo hilo kwa gharama nafuu ikiwa ni Darasani ama Ukiitaji kwa praivert.
Mawasiliano;; Waeza nitafuta kwa namba hizi 0621008885 au kuni PM
Na nipo moja ya tution maarufu hapa Dar es salam kama mwalimu husika wa somo hilo.
Uhakika ;; Nina uwezo wa kukufundisha au kumfundisha kwa uwezo wa hali ya juu hususani kwa uwezo niliobarikiwa sa somo la Mathematics Tangu nikiwa s