Karibu tukuchimbie kisima

koploTz

New Member
Feb 11, 2017
4
2
Habari wana jf,sisi tunajishughulisha na masuala ya uchimbaji visima kwa ajili ya mashamba ( I mean kumwagilia ) au kwa matumizi ya nyumbani. Bei zetu ni shillingi elfu sabini kwa mita moja ( tunaweka bomba pvc's na kukununulia pampu ) bomba zinazowekwa ni kutoka Arusha ambazo zina ubora pia tuna kuwekea polypipe yenye ubora. Kwa maelezo zaidi piga simu au tuma messeji,watsapp kwenda namba 0625576082
Karibuni sana
Nb: bei iliyowekwa hapo ni kwa wateja wa Dar es salaam tu
 
Back
Top Bottom