mkuu toughbook ni brandname ya panasonic kwa ajili ya laptop zake ambazo ni rugged, laptop hizi zimetengenezwa zitumike kwenye mazingira magumu kama mazingira yenye maji, hali ya hewa ya baridi sana au joto sana, vumbi, mawe mawe etc, kama jina lake lilivyo ni laptop ngumu.
hio ni hardware tu hizo code unazoziona ndani zinategemea na operating system inaweza kuwa windows au ubuntu, mint, kali etc na kinachofanyika humo laptop yoyote pia inafanya.
bei zake huwa hazishuki dola 1000 (zaidi ya milioni 2), unless uipate used.
na kwa bei zake hizo haina maana kama wewe huna matumizi hayo ya laptop ngumu.