Existentialist
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 554
- 377
Poleni na majukumu na uchovu wa safari ndefu ya kuumalizia mwaka ndo kwanza katikati lakini kwa wale wa serikalini hongereni kwa kuumalizia mwaka wa kimahesabu...
Niende kwenye mada, nina post ya Procurement officer awe amehitimu degree ya kwanza au diploma na kama ana CPSP ni added advantage ( Mshahara laki 7 hadi 9 Tshs), ila kwa wanasheria wanaamini hakuna mkataba usiokuwa na consideration ili ukamilike...
Consideration yenyewe ili upate hii nafasi:- Nina mdogo wangu kamaliza diploma ya banking and finance so ukimpatia nafasi kwenye bank yeyote ili mradi ajishikishe kwa muda nami ntakupatia nafasi hii...
NB: Biashara hii ni kwa wale wenye nia ya kusaidia wadogo zao au ndugu sifanyi biashara na mwanafunzi directly.....