C capo JF-Expert Member Joined Apr 12, 2013 Posts 232 Reaction score 47 Jun 26, 2013 #2 Dah uwezi kuamini kama ndio anakuja keshokutwa na walinzi kibao!
Kaitampunu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 2,461 Reaction score 1,375 Jun 26, 2013 #3 englibertm said: Click to expand... Ukiikuza ukamuonyesha hawezi kuagiza upigwe tu kama pinda?
A agosti 8 JF-Expert Member Joined Jan 31, 2013 Posts 3,575 Reaction score 2,582 Jun 28, 2013 #4 Mkuu wangu inapaswa kuwa "Obama, karibu Tanzania." kuliko "Karibu Obama Tanzania"..au vipi mtu wangu?
Mkuu wangu inapaswa kuwa "Obama, karibu Tanzania." kuliko "Karibu Obama Tanzania"..au vipi mtu wangu?