Karibu ni vitendo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karibu ni vitendo!

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Salehe Ndanda, Jul 15, 2009.

 1. S

  Salehe Ndanda Member

  #1
  Jul 15, 2009
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natumaini wazima wa afya wana jf atunabudi kumshukuru Mola, neno karibu ni neno la kistaarabu kwa kila Mtanzania
  wherever you go, sio karibu every things 'NO' KARIBU VIENDO. Maana karibu tuongee tupige story , ukizunguka zunguka kwenye vijiwe uswaz utakuta wameandika HAPA HISTORY TU KULA KWENU. Kwahiyo Karibu ina sula mbili
  KARIBU TUPIGE HISTORY- karibu viendo
  KARIBU KULA.

  Sasa l discovered that among of tz, they don't know.Siku moja miaka ya 1992 au 93 hari nyumbani ilikuwa si shwari kifedha nilikuwa mimi na ndungu zangu 2 ulipikwa ugari nusu wa 5 watoto tukatengewa pekee tukakaa nje kwakweli ugari ulikuwa hautoshi kabisa wakati tunakula akapita mmachinga anatembeza nguo mimi nikamwambia karibu hatumjui wote, nikiwa na maana 'KARIBU VIENDO' yule jamaa akajakula moja kwa moja kiumri yeye alikuwa mkubwa basi kala hicho kidogo mpaka akanywa na mchuzi uliobaki wale wezangu kumfukuza wameshindwa na mimi kumfukuza nimeshindwa lakini wale wezangu waliniangalia kwa jicho la uchungu sana, alivyonawa akasema asanteni nakuondoka, ukunyuma jamaa walinilaumu kishenzi, kwanini ulimkaribisha yule jamaaa unamjua? si mjui lakini nilimkabisha KARIBU VIENDO SIO KULA. yaliisha lakini imebaki history
  Kwahiyo mtu akikwambia karibu sio ukale kilicho kuwepo ni kwa tumbo lake tu.

  KARIBUNI WANA JF.

  MBONENYAI.  .
   
 2. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Naona mdau ana share hapo juu.

  Ingekuwa vizuri zaidi kama angeanzisha topic yake, maana haina uhusiano wowote unaoweza kuonekana na topic ya kuzaa watoto wengi.

  You would think after 20 posts one would familiarize with the system.
   
Loading...