Kipo kama unaelekea mvuti au chanikaMsongola nako kuna chuo?
Kwali Ilala inajengeka kwa kasi sana huenda kuliko wilaya zote hapa TZ.
Sijawahi kusikia Diploma ya Udaktari, naomba uieleze vizuri hiyo kozi, je ni ile zamani ilikuwa ya maMedical Assistants?Habarini wadau,tangazo kwa wote wanaohitaji kusoma certificate and diploma in clinical medicine na kozi ya mwaka mmoja community karibuni Msongola training institute,chuo kipo Msongolo ilala dar es salaam ,karibu chuoni ujaze form ujiunge mwezi oktoba
MAWASILIANO
0621149472
Post sent using JamiiForums mobile app
Diploma in clinical medicineSijawahi kusikia Diploma ya Udaktari, naomba uieleze vizuri hiyo kozi, je ni ile zamani ilikuwa ya maMedical Assistants?
Weka pass mark za kujiunga na chuo chako maana tangazo lako lina hang outHabarini wadau,tangazo kwa wote wanaohitaji kusoma certificate and diploma in clinical medicine na kozi ya mwaka mmoja community karibuni Msongola training institute,chuo kipo Msongolo ilala dar es salaam ,karibu chuoni ujaze form ujiunge mwezi oktoba
MAWASILIANO
0621149472
Post sent using JamiiForums mobile app
Sijawahi kusikia Diploma ya Udaktari, naomba uieleze vizuri hiyo kozi, je ni ile zamani ilikuwa ya maMedical Assistants?
Tunatoa diploma and certificate of clinical medicine and community ya mwaka 1Mnatoa kozi gani?
Post sent using JamiiForums mobile app
Ndy waweza tembelea website ya chuoKimesajiliwa na NACTE?
Oktoa maelezo ya kutosha kuhusu coz, hata mm natokea karbu na hayo maeneo.
Post sent using JamiiForums mobile app
Hakuna diploma ya medicine badilisheni jina lake hiyo courseHabarini wadau,tangazo kwa wote wanaohitaji kusoma certificate and diploma in clinical medicine na kozi ya mwaka mmoja community karibuni Msongola training institute,chuo kipo Msongolo ilala dar es salaam ,karibu chuoni ujaze form ujiunge mwezi oktoba
MAWASILIANO
0621149472
Post sent using JamiiForums mobile app