Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,984
- 2,976
Makosa yapo ambayo ni technical lakini siyo hili la dissertation. Labda ni wewe unayesumbuka kutokana na chuo chako ulichosoma, usisingizie wasomi wengine kwa neno basic kama hili!
Nashukuru kwa marekebisho hayo!
Nakuja kwenye hoja ya 'Ubabaishaji'. Kama umesoma ndani ya Tanzania utaona jinsi wahadhiri wakisumbuka kwa kiingereza, je wanakuwa hawajui wanachofundisha?
Aidha kama una master's degree na kuendelea utakuwa ulipata marekebisho kadhaa kutoka kwa supervisor, naomba uyapitie uyaangalie, utakuta hata marekebisho anayokupa supervisor wako hautakosa makosa kwenye 'comments' zake
Hoja: Soma program yoyote ya uandishi wa tafiti kwa nje ya nchi watakushauri vitu hivi
1. Kutumia software kurekebisha kiingereza
2. Kumtumia mwenzako yoyote ili aipitie na kurekebisha kabla ya ku-submit
Na watakuambia haijalishi unajua kiingereza kiasi gani, ni muhimu kufanya hivyo kwa kuwa kuna makosa kwa sababu tofautitofauti