Research Solutions TZ
Member
- Jul 11, 2020
- 66
- 145
Ili mtu aweze kujiunga na ngazi ya masters inatakiwa awe na Gpa ya ngapJe unafanya Dissartation na unahitaji msaada wa kitaalamu kuhusu namna bora ya kuandika au kusaidiwa kuandika ili uweze kupata Master's degree au Kupublish kazi yako?
Karibu! Tupo kwa kazi hiyo na bei zetu ni nafuu, tunaandika na kushauri kuhusu research kwenye field zote
Tuko na Certification za Uandishi wa Research kutoka World Bank na Author Aid, aidha tumefanya vizuri Dissertation zetu bila kusumbuana na supervisors
Tunasaidia yafuatayo
1. Namna bora ya uandishi wa kila kipengele
2. Namna ya kuweka 'Model' inayoendana na Variables zako
3. Kwa watumiaji wa Primary data tunatengeneza questionnaire zilizozingatia objectives za research
Huduma nyingine
1. Kufundisha matumizi ya Statistical Packages esp. STATA na SPSS
2. Namna ya kutumia internet kurahisisha uandishi wa research yako nk
Tunapatikana ndani ya Dar, lakini tunafanya kazi na mtu wa mkoa wowote
Kwa mawasiliano.. +255 623 509 409
Email.. researchsolutiontz@gmail.com
Ili mtu aweze kujiunga na ngazi ya masters inatakiwa awe na Gpa ya ngap
Ya ElimuMasters ipi
Inategemea chuo na chuo ila vingi huanza na 2.7 undergraduateYa Elimu
Oya mkuu SPSS soma kupitia you tube kama excel unaweza SPSS hutashindwa labda umuambie akufundishe SAS au R Package mkuu. Ila ni maoni tuu [emoji120]Mafunzo ya SPSS Mnachaji kiasi gani?
Mkuu, hata gari unaweza ukajifunza mwenyewe na ukaweza ila baadhi ya sheria za barabarani hutoweza kuzijua hadi uende VETA au NIT.Oya mkuu SPSS soma kupitia you tube kama excel unaweza SPSS hutashindwa labda umuambie akufundishe SAS au R Package mkuu. Ila ni maoni tuu [emoji120]
Aende akapate somo kwa hao jamaa.you tube anaweza asiambulie hata kidogo.SPSS sio package nyepesi hivyoOya mkuu SPSS soma kupitia you tube kama excel unaweza SPSS hutashindwa labda umuambie akufundishe SAS au R Package mkuu. Ila ni maoni tuu [emoji120]
Tafadhali wasiliana na chuo unachotaka kujiunga watakupa vigezo vyaoIli mtu aweze kujiunga na ngazi ya masters inatakiwa awe na Gpa ya ngap
Bei zetu ni nafuu, Tafadhali wasiliana nasiMafunzo ya SPSS Mnachaji kiasi gani?
R Package ni nzuri, na inazidi kujiongezea umaarufu kwa sasa, lakini kwa Tanzania bado tunatumia STATA(angalia household survey za NBS)Oya mkuu SPSS soma kupitia you tube kama excel unaweza SPSS hutashindwa labda umuambie akufundishe SAS au R Package mkuu. Ila ni maoni tuu [emoji120]
SPSS ni nyepesi ukilinganisha na statistical packages nyingineAende akapate somo kwa hao jamaa.you tube anaweza asiambulie hata kidogo.SPSS sio package nyepesi hivyo
Je unafanya Dissartation na unahitaji msaada wa kitaalamu kuhusu namna bora ya kuandika au kusaidiwa kuandika ili uweze kupata Master's degree au Kupublish kazi yako?
Karibu! Tupo kwa kazi hiyo na bei zetu ni nafuu, tunaandika na kushauri kuhusu research kwenye field zote
Tuko na Certification za Uandishi wa Research kutoka World Bank na Author Aid, aidha tumefanya vizuri Dissertation zetu bila kusumbuana na supervisors
Tunasaidia yafuatayo
1. Namna bora ya uandishi wa kila kipengele
2. Namna ya kuweka 'Model' inayoendana na Variables zako
3. Kwa watumiaji wa Primary data tunatengeneza questionnaire zilizozingatia objectives za research
Huduma nyingine
1. Kufundisha matumizi ya Statistical Packages esp. STATA na SPSS
2. Namna ya kutumia internet kurahisisha uandishi wa research yako nk
Tunapatikana ndani ya Dar, lakini tunafanya kazi na mtu wa mkoa wowote
Kwa mawasiliano.. +255 623 509 409
Email.. researchsolutiontz@gmail.com
Mi nadhani sio nyepesi labda kama unafanya analysis za kawaida.Na inategemea na mtu pia wewe unauzoefu nayo lakini kuna watu ile wanaiyona tu hawajui wafanye nini.Tena wapo wengi tuSPSS ni nyepesi ukilinganisha na statistical packages nyingine
Mbona una maneno makali sana bosi. Ilo ni tatizo la kibinadamu hata wewe linaweza likakutokea. Ni suala la kumrekebisha tu na sio kutumia maneno makali kama hayo.Wewe ni mbabaishaji tu, hata neno dissertation limekushinda kuandika eti unaandika dissartation! Loh! Ndiyo utajua kufundisha mtu mambo ya research? Nyie ndiyo vishoka kweli kweli!
Mbona una maneno makali sana bosi. Ilo ni tatizo la kibinadamu hata wewe linaweza likakutokea. Ni suala la kumrekebisha tu na sio kutumia maneno makali kama hayo.
Nashukuru kwa marekebisho hayo!Wewe ni mbabaishaji tu, hata neno dissertation limekushinda kuandika eti unaandika dissartation! Loh! Ndiyo utajua kufundisha mtu mambo ya research? Nyie ndiyo vishoka kweli kweli!